Hiki chama cha wachungaji naona wameanza kuchanganyikiwa, wanarudiarudia articles na hawana jipya
nice one mkuu... wanamchafua slaa kwenye personal life wakati wao wana vimada hadi wamepoteza hesabu yao!!!!rose kamili anauvumilivu na ni mwanamke wa kuigwa
Ha ha ha wewe Bull, mwone daktari wa macho, huoni watu? Macho yako yana 'drop effect'
Umati Mkubwa ulijitokeza kumlaki Dk. Slaa katika eneo la Haydom, jimboni Mbulu
Dk Slaa anamtambulisha mgombea ubunge wa Hanang, Rose Kamili, katika eneo la Endosak, jirani na nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu,
Frederick Sumaye.
Ilikuwaje?
Kwanza, walijaa katika mikutano yake katika majimbo ya Hanang na Mbulu.
Pili, walizuia misafara yake kokote alikopita wakitaka awahutubie, walau kwa dakika moja tu!
Tatu, walimwahidi kufanya mabadiliko makubwa mwaka huu kwa kuchagua wabunge na madiwani wa Chadema, ili kukifanya CCM kuwa chama cha upinzani.
Kipya ni kwamba alitumia usafiri wa Kipanya (Hiace) badala ya helikopta kutoka Babati hadi Mbulu, kwa sababu helikopta ilipata hitilafu kidogo Jumatano mara baada ya kutua mjini Babati ikitokea eneo la Bashnet.
Habari na Picha na Mdau Asbert Ngurumo
Inawezekana hao wote wana mapenzi na Dr Slaa lakini pia inawezekana ndio sinema za kule vijijini. Kukiwa na kitu chochote watu wanajazana kwenda kusafisha macho.
Hatuwezi kujua ukweli mpaka tarehe 31 Oktoba.
Aaahh,haiogopeshi hiyo!
Rejea enzi za Mrema mwaka 1995,alibebwa na kusukumwa kwenye gari,lakini akalamba patupu.
Je Mrema wa kipindi hicho na Dr. Slaa nani zaidi?
Aaahh,haiogopeshi hiyo!
Rejea enzi za Mrema mwaka 1995,alibebwa na kusukumwa kwenye gari,lakini akalamba patupu.
Je Mrema wa kipindi hicho na Dr. Slaa nani zaidi?