Dk silaa kuwa waziri??

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Jamani nimeota dk silaa kachaguliwa baraza la mawaziri sijui lipi lakini akiwa anafuraha kabisa embu wananyota na ndoto tupen maana ya ndoto hii
 
Jamani nimeota dk silaa kachaguliwa baraza la mawaziri sijui lipi lakini akiwa anafuraha kabisa embu wananyota na ndoto tupen maana ya ndoto hii

JK hata kama akichagua usingizini hawezi mteua Slaa, kwani shughuli anaifamu.
 
Maana ya ndoto hiyo ni mafanikio makubwa alinayo slaa kwenye siasa, hata hvo tunasubili police wa adjust tamko lao, then tuanze mkutano rasmi kwaajili ya kuelimisha umma nini kililfanyika, kimefanyika, knafanyika, na kipi kitafanyika
 
Jamani nimeota dk silaa kachaguliwa baraza la mawaziri sijui lipi lakini akiwa anafuraha kabisa embu wananyota na ndoto tupen maana ya ndoto hii
Naona ndoto yako ipo against msimamo wa Slaa juu ya JK
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom