Hapa kwa kiongozi bora ningeweka pesa yangu kwa huyu mtaalamu wa nyuklia(atomic?)..Dr.Mohammed Gharib Bilal .He seems RADICAL na mtu asiyeburutwa na pengine anajua anachofanya (sina hakika). Shein ni mamba asiye na meno. Shamhuna + Karume = jazba. Hao wengine waongeza idadi tu, hawana chance.
Yaani namtamni Bilal mwaka 2010 namunona ndiye mwenye uwezo....shein sijaiona impact yake bado...mara nyingi simuelewi
mix with yours