Dk. Rashidi, Kazaura hawaivi

Mkuu Mtanzania, u need to do ur homework properly....

Mkuu to some extent uko sahihi lakini ukisoma btn the lines utaona kwamba homework yako inahitaji kuwa makini zaidi. 'Watu wewe' nae yuko sahihi pia kwa upande wake, m/kiti si mtendaji kama ambavyo pia umekiri kwa hiyo ktk hili inategemea rules, regulations, procedures & practice walizojiwekea 'TANESCO' kama ni kweli kwamba ktk utaratibu wao m/kiti hakustahili kuwa na hiyo ofisi basi Dr. Rashid alikuwa sahihi kabisa, hususani pale shirika linapokuwa ktk hali ngumu ya kifedha. U'll have to cut down all unnecessary cost.

''Shareholders & stakeholders confusion?''

Naomba kukazia nukta hii: ''All shareholders are stakeholders, but its not necessarily for the stakeholders to be shareholders. Na kwa hivyo basi 'shareholder anaweza kuwepo both ktk private & public company''.

Just to clarify the point.

Peace to all !!!
 
Mkuu Mtanzania, u need to do ur homework properly....

MKUU TO SOME EXTENT UKO SAHIHI LAKINI UKISOMA BTN THE LINES UTAONA KWAMBA HOMEWORK YAKO INAHITAJI KUWA MAKINI ZAIDI. 'WATU WEWE' NAE YUKO SAHIHI PIA KWA UPANDE WAKE, M/KITI SI MTENDAJI KAMA AMBAVYO PIA UMEKIRI KWA HIYO KTK HILI INATEGEMEA RULES, REGULATIONS, PROCEDURES & PRACTICE WALIZOJIWEKEA 'TANESCO' KAMA NI KWELI KWAMBA KTK UTARATIBU WAO M/KITI HAKUSTAHILI KUWA NA HIYO OFISI BASI DR. RASHID ALIKUWA SAHIHI KABISA, HUSUSANI PALE SHIRIKA LINAPOKUWA KTK HALI NGUMU YA KIFEDHA.U'LL HAVE TO CUT DOWN ALL UNNECESSARY COST.

''SHAREHOLDERS & STAKEHOLDERS CONFUSSION?''
NAOMBA KUKAZIA NUKTA HII: ''ALL SHAREHOLDERS ARE STAKEHOLDERS, BUT ITS NOT NECESSARILY FOR THE STAKEHOLDERS TO BE SHAREHOLDERS. NA KWA HIVYO BASI 'SHAREHOLDER ANAWEZA KUWEPO BOTH KTK PRIVATE & PUBLIC COMPANY''.
JUST TO CLARIFY THE POINT

PEACE TO ALL !!!

Kingwendu,
Point yangu ilikuwa kwamba matumizi ya Mwenyekiti kwenye masuala ya utendaji wa kila siku yanagharamiwa na kampuni husika. Sio lazima huyo Mwenyekiti wa Tanesco awe na ofisi Tanesco lakini kama anahitaji ofisi au secretary basi hizo gharama kwa vyovyote zitakuwa zinalipwa na Tanesco. Unless kama Mwenyekiti alikuwa anapewa pesa zingine kwa hayo matumizi, mimi naona kumnyang'anya ofisi ilikuwa sio jambo jema na huenda lilikuwa haliongezi tija kwenye Tanesco.

Tukija kwenye shareholders na stakeholders. Naelewa tofauti yake vizuri kabisa. Niliamua kutokutumia kulinda maslahi ya shareholders kwasababu kwa muundo wa Tanesco huenda board ina majukumu zaidi ya kulinda maslahi ya serikali ambaye ndio owner wa Tanesco (shareholder). Malengo ya boards kwenye mashirika kama Tanesco huwa zaidi ya kuhakikisha management ina create value for money for shareholders na badala yake pia hulinda maslahi ya consumers, suppliers nk. Ndio maana nikatumia stakeholders.
Kabla ya kuandika, niliangalia website ya Tanesco kujua majukumu ya board ni yapi na hakuna info na ndio maana nikatumia stakeholders ili kuwa kwenye safe side.

Majukumu ya boards kwenye makampuni ya serikali yanatofautiana sana kulingana na shirika lenyewe. Kuna mashirika ambayo board inafanya kazi kama vile ambavyo ingefanya kwenye private companies lakini kuna mashirika mengine ambayo wanalinda maslahi ya stakeholders wote especially consumers zaidi kuliko hata kulinda maslahi ya mtoa pesa. Sina habari kwa case ya Tanesco board yao msisitizo uko kwenye nini.

Kwahiyo mkuu nilitumia stakeholders nikiwa naelewa kabisa nataka kusema nini wala sikuwa na maan kwamba shareholders ni kwenye private companies na stakeholders kwenye public companies. Stakeholder ni mtu yeyote ambaye ana interest yoyote halali kisheria kwenye kampuni husika, kuanzia wenye kampuni (shareholders) mpaka hata TRA wanaosubiri wachukue mgao wao.
 
Mwakilishi, Dua, Mwanakijiji, hata mimi naitafuta ripoti ya Kamati ya Ayila kuhusu OGL. Pia naitafuta ripoti ya Kamati ya Shelukindo kuhusu Muungano, hoja ya Tanganyika, na hoja binafsi ya Patrick Qorro kuhusu uharibifu wa mazingira katika mbuga za wanyama.

Wanatuchezea hawa. Wangine wanajificha, halafu 10 yrs down the road wanaibuka wakifikiri tumesahau.
 
Back
Top Bottom