Dk ndodi kwa nini ofisi zako ziwe mahotelini kunanini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Dearest hon dk ndodi
nimewiwa kujiuliza kwa jinsi unavyojitahdi kujitangza ni vyema na moja ya biashara
nafikiria zaidi nikuulize kwa nini ofisi zako ziwe mahotelini..kama una aamini kazi yako kwa nini usifungue ofisi zako binafsi ijulikane hii ofisi ya ndodi badala ya watu kuingia mahotelini na wengine kuchukua advantage ya kwenda kwa vingast wakitaja wanakwenda kwadk
nadhan kama n hela za kutosha umepaata kuweza kupata sehemu ama ofisi ilio wazi na sio kungangania kukaa mahotelini wengine waume zetu ama wake zetu awaruhusu kuingi ovyo n mwiko sasa msaada wa watu wataupataje....nafikiri bado una nafasi ya kuchukua wazo hili na kulifanyia kazi
 
Back
Top Bottom