Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

Usishangae kuona huyu Nchimbi hata maana ya neno 'nunda' hajui.Wacha wamuite majina yote katika lugha ya wazi ili aelewe yukoje.Adui yako muudhi.
 
Mshamba,
Endelea kumwaga nondo. Lakini epukana na maneno kama vile mshenzi mkubwa. Wewe mwaga tu hapa madhambi bila matusi. Tueleze basi ya kuanguka kwa rais pale Mwanza!
 
Braza SAM
Heshima yako mkubwa... mie naona huyu kijana nchimbi ni mchimvi na anafaa sana ktk bendi za taarab za mipasho na ninashangaa kwa nini hakujiunga TOT taarab ili walau tungpo zake sikikike na kuingia sokoni kama za kina kopa na wenziwe...
 
wow sounds nice
ina maana anapologa wengine anaweza kabisa yeye kuishi milele?? asituzingue. atawaloga wachawi wenzake na si hapa na ashindwe alegee

watanzania acheni uoga wa miaka ya arobaini kweusi. kama kuna mchawi pekee ninayemuona hapa tz ni yule mjamaa aliyekwenda na mihuri ya gavamenti huko ughaibuni na kuingia dili yenye kuleta msiba kwetu na vizazi vijavyo...
 
nani kasema lugha kama "kupandwa"? mimi nimesema nchimbi na wenzake ni ngono ngono tu nani hajasema hili neno ngono mbona hata president anasema ngono salama? kuzaliwa ama kujiita mzee wa pwani sio kuwa na viwango vya lugha huna kipimo, kipi hakijulikani mbona baba amina alisema huko habari maelezo kuwa jina la anayesadikiwa muuaji wa mwanao anatajwa sana na magazeti? magazeti hukuona yamedisplay hata sms kwa huyo nchimbi? mangapi yamesemwa kuhusu wasiokuwa na madaraka ama waliokinyume na watawala? kilichokushtua ni nini? kuanguka kwa rais? ama kutajwa viongozi wakiwa bungeni wana nyumba ndogo? nani yuko juu kama Clinton aliyeshtakiwa na monica lewinsky?

sio lugha yenu na nani? mbona unanichanganya hukusikia katibu wa UVCCM amosi makalla alisema zito kaathirika kwa uongo? sitaki kupindisha ukweli, tusifiche ugonjwa waliohusika uchawi ndio wanaojitaja sasa kumbe tukiwajulisha washirika wao ni kosa? ama mzee umo na wewe?

sasa hivi ukimuahidi maskini nyumba na hukutimiza usiambiwe!

mtu wa pwani kama unahitaji porojo basi tudanganyane!

hivi nani hajui uhusiano wa nchimbi na wanawake na dada yake kwa naibu waziri? tunyamazie dhambi au ni haki ukiwa waziri uishi kinyume na maadili ya Tanzania?

nani hajui kuwa hata ditopile jana kasema wananchi wakalale na wake zao hii ni lugha inayoruhusiwa ama kwakuwa ni mtu wenu?

mtu yuko nje kwa mauaji bado mnampa mic ili atutishie? mkiua ni sawa tu sisi kusema mambo yenu ya ngono na uchawi tuonywe?

nina hakika we ni mzeee wa pwani wanakugawia....?

Sioni ukali wa lugha yoyote hapa,kama kiongozi anafanya upuuzi lazima tumuite mpuuzi,kama anafanya ushenzi lazima aitwe mshenzi,sasa ukali wa lugha upo wapi hapa?Mie naungana na Mshamba
Wa Kijijini,hakuna lugha chafu iliyotumika hapa,bali matendo yao ndio machafu,tumechoka kunyanyasika,hivi kwa akili yako unakubali kuwa Rais akiwa ikulu maana yake ni kulinda NJIWA?Huu si ni ujinga kabisa,mtu mwenye busara huwezi kuzungumza upuuzi kama huu.
 
Bado kabisa... lugha iliyotumika sio nzuri,, zaidi ni sawa na kujihadhilisha tu..... "simple as that"
 
nchimbi ni mnafiki na mzandiki,ni watu wa type ya mwang'onda ambao wako tayari hata kubeba mkoba wa waziri kwa kujikosha!
mwenyekiti wa SISIEMU kamwaga wazi wazi mhe. six kwamba aendi jimboni mwake kupata kero za waajiri wake,
leteni data za hawa mafisadi za dodoma
 
Wakati nasikia Nchimbi naye yumo kwenye harakati za kujiandaaa na uraisi kama alivyofanya JK kwa miaka 10 sasa yeye ni 20 hadi 2025. YAngu macho
 
achilia nchimbi,2025 inaangaliwa na vihiyo wengi sana.. hata kina mathayo david,
ila siku zao zinahesabika coz upinzani wa miaka hiyo sisiemu itakuwa imeshapoteza dira!
kutakuwa na vijana shupavu
 
Mshamba maneno yako ni sahihi na yanaendana na matendo yao. Wakati umepita wa kuwapa majina wasiyostahili. jambazi wa mtaani akiiba tunamwita jambazi hawa kwanini isiwe hivyo au kwa vile ni viongozi.
 
Nchimbi sio dr,huyu ni kilaza tu,hata ukiona shule alizo soma itakuonyesha jinsi gani kichwa chake lilivyo.Huyu udokta wake ni sawa sawa na dr Nelson Lutta.Waandishi ndio wanamakosa kwa hili,mtu akiteuliwa hawaulizi elimu yake,akiwaambia mimi dr nao wanaandika kama walivoambiwa bila kumwuuliza alisoma wapi,lini na shule/chuo gani,Nchimbi anavyoisha hata mwaka huu ameogopa kuwania NEC ya CCM MAANA 2002 alitupwa nje,mfa maji haachi kutapatapa ndio maana kapewa wizara ya kuangaika na mamluki wa simba na yanga-ndoto yangu ni kuwa huyu mtu hata dumu kwenye serikali ya JK,Mdhihiri alikuwa hapo alipo,kwa sasa anapigwa na vumbi mtaani.
 
Ee bwana kikwete pale kirumba akifanyiwa uchawi na wale wanaoenzi utamaduni wa wasukuma pale bujora, alitokea mtaalam mmoja akawaona wakiwa uchi wakati wengine hawaoni, walipoanza kunyunyiziwa dawa wote waliokuwepo pale kirumba hatimaye wakamfikia yeye, alimuona kabisa kikwete akamkamata na vita ilipokuwa kubwa jamaa wakavaa na ghafla wakarudishia watu mawazo yao ndio jamaa akaonekana akiwa anahangaika na kikwete! kama unabisha nikupe indication: kwa ulinzi wa askari wote waliokuwa mbele jamaa aliweza vipi kutoka chini ,kupanda jukwaa na kumkamata bila kuonekana? hebu jiulize ni rahisi kiasi gani?

wanaojidai hawaamini uchawi wa hawa mafisadi ajaribu kumkoromea nchimbi wakiwa bungeni dodoma atajikuta hajui njia ya kutokea hapo.

network ya wazinzi wa CCM wakiwa dodoma inaongozwa na wabunge na wafuatao; nchimbi, ngereja, mwan'gonda,na mbunge mmoja wa majimbo ya DSM nakamilisha data zangu nitawamwagia, mbunge mmoja wa majimbo ya dodoma naye najaribu kumtafuta vema, viongozi wa kikundi niliwatajia jana spika, waziri mkuu na mwanamke mmoja wa majimbo ya songea aliyehongwa uenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge. ambaye anatetea upuuzi na umalaya aendeleee najua hawakosi katika msururu huo.

ila huyu nchimbi ndio kitovu wa network, namalizia mabomu ya john komba nitawamwagia soon!
 
kwa faida yenu ngoja niwape elimu ya nchimbi:
shule ya msingi kahama kweli:
changa(tanga),kilimanjaro(moshi), kilimani(iringa),kiezya(kigoma),utemini(singida),osterbay(DSM)hizi ni shule az msingi 1980-1986.

sekondari.
uru seminary1987-89, sangu secondary school1989-90, forest hill 1991-93,

chuo:
IDM mzumbe 1994-97 A-Dip in Public admin, commonwelth open university 1999-2001, MSc (management)

mzumbe university 2001-03, MBA finance and banking

commonwelth open university 2001-03,PhD management.

sasa hebu jiulizeni nimewamwagia elimu ya mpuuzi huyu mambo ya open university si ndio?
 
Mashamba ya kijijini mwaga mwanangu hawa watu ni wazinzi na washenzi na hawataki kukubali,,ukiona mzinzi anatetea uzinzi asishangae kuitwa mzinifu,,we kibunago angalia mambo ya kuunga mkono,,,angalia usije uza utu wako kwa sababu ya samaki wa mwanza,ahsante
 
jamani mmemsahau mtu anaitwa laurence masha,naibu waziri wa mamabo ya ndani,nae ni mzinifu kishenzi,mara nyingi anakuwepo club 84 pale dodoma kusubiri watoto wa cbe dodoma
 
jamani huyu ni nchimbi au 'mchimvi'maana isijekuwa kwa kuogopa kurogwa na magazeti nayo yanamuogopa kumwita mchimvi
 
Katika siasa za bongo leo kumuongelea huyu mkuu, sio worthy tena maana alishakwisha kifo cha mende ndio maana hata kwenye NEC, amejiweka mbali utakuwa rais wa bongo CCM, bila ya kuwa NEC, aunafikiri watu wanaotafuta ujumbe wa NEC na helikopta ni wajinga kuna wanacholenga!,

Maana wameshaamini kuwa sisi wabongo ni wajinga kwamba hatuwezi kufanya lolote na tutawachaguia tu!
 
“Wapinzani hivi sasa wanaingiwa kiwewe kuona kasi ya maendeleo ya elimu na ujenzi wa barabara, hivyo wanaanza kuwapaka matope viongozi bila sababu yoyote lakini mwisho wa wao umefika na mzushi Slaa atabainika,” alisema Nchimbi.

WanaJF
Kusema kweli siku zote huwa nasikitika sana, naomba wana CCM na wasio wanaCCM, tuseme ukweli kama kweli nchi yetu ina maendeleo kwenye sekta ya Elimu au kwenye ujenzi wa barabara. Who are we tryimg to fool? Nchimbi ni Dk, hivi kweli pamoja na Doctorate yake anashindwa kuwatambua kuwa our education systme is doomed, barabara alizotutengenezea Mkiloni ndio hizo hizi wanajaribu kuzikarabati nad they keep on trying to fool us????? What the **** is this. Huyu Jamaa ni DK kweli au ndiyo hizo doctorate za kutoka Nigeria. Barabara mpya mbili tatu tunazoziona Tanzania zimetengenezwa na Benki ya dunia, kwa nii anataka kutafuta u-spoonity wakati kazi imefanywa na wengine, pamoja na kuwa tunafanywa wajinga we are not that fools, he appears to be one himeself. Huwezi kusema watoto wanasoma kwenye magofu ukasema unaleta maendeleo ya elimu, barabara unaweka changarawe halafu unadai kuwa mnaendeleza barabara, WHAT THE CRAP! DK Nchimbi get your mind straight!!
 
Back
Top Bottom