Ndamalishaz
Member
- Dec 11, 2011
- 37
- 2
Mbna mwakyembe nae amekaa kmyaa,,??ama ameona nikawaida yy kuwekewa sumu
Mbna mwakyembe nae amekaa kmyaa,,??ama ameona nikawaida yy kuwekewa sumu
Afe taratibu una maana gani weweDr Mwakyembe ana haki na maamuzi ya mwisho juu ya afya yake. Mawili, awaambie watanzania ukweli wa afya yake au afiche kama
alivyofanya kwa mambo ya Richmond afe taratibu.
He can choose to remain silent until he faces death, when he has no option but only to say, he will say it. Sioni kwanini mtu uwe
unaumwa, watu wanakupenda, wanataka kujua nini hasa kinakusumbua we unakaa kimya. Tanzania tuna mambo ya ajabu sana
He can choose to remain silent until he faces death, when he has no option but only to say, he will say it. Sioni kwanini mtu uwe
unaumwa, watu wanakupenda, wanataka kujua nini hasa kinakusumbua we unakaa kimya. Tanzania tuna mambo ya ajabu sana
labda sheria inazuia mwakyembe kuitoa ripoti ya ugonjwa wake ama anautumia ugonjwa wake kama mtaji wa kisiasaviongozi watatupiana mpira mwisho wa siku itatupiliwa mbali kilichopo Dr Mwakiembe mwenyewe aisome hadharani wananchi wapate ukweli ilikuwa simu au ugonjwa ya kawaida
mi sijui wanaogopa nini kusema wazi kuwa alilishwa sumu alhali kila m2 anajua hilo!?hakunaga siri humu duniani hiyo ripoti ipo siku 2 itatoka kwa wananchi whether akiwa hai au hayupo,shame on the government,
labda sheria inazuia mwakyembe kuitoa ripoti ya ugonjwa wake ama anautumia ugonjwa wake kama mtaji wa kisiasa
Si unajua yeye ni mtu wa kufichaficha mambo? Richmond kuna aliyoficha, itakuwa haya yake ya binafsi? Hata kaka yake Mwandosya naye alikataa kusema anachoumwa. JMK naye hakutuambia angukaanguka yake inatokana na nini. Mkapa alitenguka kiuno hakusema ilitokeaje.Watu wanamhurumia Mwakyembe lakini yeye hajihurumii.
Akisema atapata nafuu kidogo? Nasikia watu wa TISS mna viapo vyenu. Huenda ndivyo vinavyomzuia kusema.Mbna mwakyembe nae amekaa kmyaa,,??ama ameona nikawaida yy kuwekewa sumu
hawezi kutumia ugonjwa kama mtaji wa kisiasa wakati uwezekano wa kupona haupo!!!....ukienda pale kwake ukakaa nae atakwambia chanzo cha ugonjwa wake wala hafichi....ile report ikisomwa hadharani serikali inaogopa machafuko ndio maana inaminywa.......na haitakuja kusomwa hadharani..