Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

Lowassa alitaka kumuua huyu bwana kwa sumu ya pollonium. Mungu mkubwa huyu Mwakyembe kapona na yeye sasa anaumwa maradhi ya Paekinson. Adhabu ni hapa hapa duniani. Eti anataka urais wa Tanzania! Atausubiri milele
Alijua kuwa kama atakuwa mzima, ataweza kutoa ukweli wa uchunguzi wa Richmond.

Mungu mkubwa,na sasa maumvi hana cha Kijite tea. Tusubiri mambo mengi tutajua mwaka huu.
 
JamiiForums576928805_400x298.jpg
 
Aache longolongo mbona ripoti ya madaktari haiweki hewani na sisi tuione . Huyu jamaa naona anatuyeyusha tuu ili apate huruma ya wananchi hajawekewa sumu huyu liongo tuu

Ni maamuzi ya mgonjwa mwenyewe si madaktari. Doc yoyote duniani ana kiapo cha kulinda siri za mgonjwa regard status yake. Unless mgonjwa mwenyewe atakapotaka zitolewe
 
Back
Top Bottom