Hapana ndugu mhariri, huo ni uharo na uongo mkubwa!
Umeshasema kwamba ndugu wa Mwakyembe wenyewe wamekwambia kwamba nia ya kuandikwa waraka huo ni kuliambia taifa kilichojiri, huwezi tena ukageuka ukasema habari haitakiwi kuwekwa wazi eti kwa sababu ya uchunguzi, wewe mhariri na waandishi wako you don't know what you are doing at your job, tena waongo wakubwa, huna hakika na unachoandika, mmeenda shule ya journalism ya chini ya miembe, vilaza wakubwa!
Umesema yeye mwenyewe Mwakyembe "amesambaza" waraka wenye majina ya watuhumiwa, itakuwaje tena wewe ndio uogope kutaja kile ambacho tayari kimeshatajwa? Tuna uhuru wa vyombo vya habari tatizo wahariri waoga, uozo! Halafu hakuna competition, ingekuwa Tanzania Daima wanajua kwamba wao wasipoanika huo waraka basi chombo kiingine kitaandika wangewahi kuuchapa, lakini ndio hivyo tena, hatuna waandishi wa kweli kwenye press Tanzania, nazi tupu!

Nimesikia hili suala kwenye summary za magazeti!
Kama utapatikana waraka huu mapema itakuwa ni njema sana!
Huu wa vitaulo vya chooni? Walisema pia dada aliyeviweka keshakufa!hivi hakuna mwenye huo waraka wa siri wa mwakyembe aumwage hapa
naskia alishawahi kuzidiwa tena hata kabla ya hii issue ya india, akaenda kutibiwa
hivi ile ilikua sumu?
Hii ilishaelezwa humu JF Kuwa mkakati ulipangwa Moven Pick, ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25 na wahusika ni kama ifuatavyo:
TISS/A001
TISS/B1
TISSB32
TISS/B5
TISS/A6
TISS/F5
Rejea Thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ugonjwa-wake-yaivuruga-serikali-pinda-2.html
Ujumbe ulifika na unafanya kazi!