Dk. Masaburi kura hatukupi, tueleze UDA imeuzwaje?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,052
Hayo.mengine.atukuhumu hili la UDA lazima ueleze mmeuzaje na vipi hela ya UDA ikaenda kwa mtu binafsi.

Ubungo tusikosee hata sikumojaaa.

Chagua kura yako kwa kubenea.
 
Hayo.mengine.atukuhumu hili.la.uda lazima.ueleze mmeuzaje.na.vipi.hela ya uda ikaenda kwa mtu binafsi

ubungo tusikosee hata sikumojaaa

chagua kura yako kwa kubenea

Maswali mengine naona hayana mantiki kwa sababu unamuuliza Masaburi swali kama hilo wakati viongozi wakuu wa nchi walikuwepo. Masaburi ana uwezo gani wa kufanya maamuzi kuhusu masuala ya nchi. Ni ujuha tuu. UDA Iliuzwa wakati wa waziri mkuu Lowasa. Anzia hapo sasa, kwenye miaka ya 2008. Labda Lowasa ndio atuambie ukweli kuhusu UDA kwanza kwa sababu inawezekana Masaburi alikuwa mtekelezaji tu wa maagizo.
Pia of all the wananchi wa ubungo wameshaamua Kubenea hapati kitu. Tapeli mkubwa wa kisiasa kama huyu kupitia magazeti uchwara ya Mwanahalisi na Mawio, aende akafanye biashara zake za utapeli na uongo kwenye magazeti yake. Hakuna mtu anayemwamini tenaa. Labda atuambie kwanza je miaka yote aluvyokuwa anatuambia Lowasa na Sumaye ni mafisadi wa kutupwa, alikuwa ana maanisha kuwa ni wasafi au? Miaka yote aliokuwa akituambia Richmond ni Lowasa na Lowasa ni Richmond alikuwa ana maana gani. Asikimbilie vyeo tuu kabla hajatoa maelezo ya kutosha kwanza
 
Kama hakuna majibu hayo na najua Kubenea yumo ndani humu, tutajua HATUFAI. basi tutamchagua Masaburi mwenye nia njema na maendeleo ya jimbo.
Tutachagua Masaburi na si mwingine.
Tutaendelea kunyooshana hivi hivi tartiiibu mpaka kieleweke kwa manufaa ya mama Tanzania na si vinginevyo
 
View attachment 290697
 
naomna hii thread ni ya ubungo....napita ila masaburi hana lolote...nyie jifarijini humu mitandaon kazi iko oct 25
 
Jana nimemuona AZAM TWO akirusha huo mpira kwa Lowassa...too low kwa kweli
 
UDA ni deal la Lowassa akiwa waziri mkuu mwama 2008.

Lowassa anawatesa sana UKAWA, kisha issue ta ufisadi wakitaka kuitumia Lowassa na wafadhiri wake wapo,kaazi kweli.Hiyo ya UDA mtaikimbilia wenyewe maan data zote zipo.
 
Kama hakuna majibu hayo na najua Kubenea yumo ndani humu, tutajua HATUFAI. basi tutamchagua Masaburi mwenye nia njema na maendeleo ya jimbo.
Tutachagua Masaburi na si mwingine.
Tutaendelea kunyooshana hivi hivi tartiiibu mpaka kieleweke kwa manufaa ya mama Tanzania na si vinginevyo

Mkuu kuna watu kama misukule BADO ina muamini kubenea ,sijui tumerogwa ,mtu anayeibadilikabadilika kama kinyonga ili tu atimize malengo yake nani atamuamini tena ,eti leo hii lowasa sio fisadi tena , kesho tena ataandika mengine kuhusu masubiri ,ili tu apate kik ,nani atamwamini tena huyu mzushi ,ni hatari sana kuwa na waaandishi wanafiki kama kubenea katika nchi
 
Mkuu Kwanza ilitakiwa kisheria mtu kama huyu anyanganywe cheti cha uandishi wa habari. Kwa sababu kwa usalama wa nchi mijitu kama hii ni rahisi sana kuleta uchochezi na machafuko ndani ya nchi. Ni kama wale waandishi waliosababisha uchochezi na watu kuuana kule Kenya. MCT tafuteni utaratibu wa kuondoa waandishi makanjanja kama hawa tafadhali
 
Wacha weee.... View attachment 290711
 
Jana nimemuona AZAM TWO akirusha huo mpira kwa Lowassa...too low kwa kweli
Too low unamaanisha nini jamani embu tumieni akili zenu walau wakati mwingine. Please go to details utufafanulie. Umesema too low kwa kulinganisha na nini, na analysis yako ilifanyikaje. Hatuhitaji watu jf waje kutoa vichekesho. Huu ni muda mbaya. Tunakwenda kufanya maamuzi kwa ajili ya nchi mama Tanzania
 
naomna hii thread ni ya ubungo....napita ila masaburi hana lolote...nyie jifarijini humu mitandaon kazi iko oct 25

Tuambie Kubenea lolote alilokuwa nalo zaidi ya utapeli na uongo kupitia magazeti yake ya kihunihuni.
 
Kuna wakati mkijichagulia usernames, mjue zinabeba roho na kumuathiri mtumiaji....wote tunajua nini kilitokea BABELI sasa mtu anapokuja na username ya namna hii na kuangalia mtazamo wake hata kwenye mambo rahisi kabisa unapata majibu ya maswali mengi
 
Huna haja ya kuoteshwa ushindi wa Magufuli upo wazi kabisa.

Wala siamini maono ya mtu naamini kura za wa TZ zinamshoot MAGUFULI toka CHATO hadi magogoni. Mtaamini tu ikifika 26 Oct.

Ndugu zangu wekeni maneno ya hakiba, halafu msimpinge mwenzenu wala mdimkosoe... Bali kwa umoja wenu huo muelewe kuwa kama kuna wakati ccm ilikuwa na wakati mgumu kwenye uchaguzi basi ni huu... Tukiachana na propaganda za mtandaoni za kuchafuana, kudhihakiana, kukashifiana, kudhalilishana na kujipa matumaini kama hayo, ccm Inaelekea mwishoni....ccm inaenda kwenye uchaguzi ikiwa si moja, ccm inaenda kwenye uchaguzi ikiwa imedhoofika mno... Na hili si langu bali linazungumzwa na makada wenyewe ndani ya ccm
Haya matumaini mnayojipa ni kwa vile kuna maandalizi ya kila aina ya kutaka kuiba Kura, Wachina na wahindi wameshaombwa rasmi kulifanya hilo... Lakini bahati mbaya sana Lowassa kaacha vijana wake kule kwahiyo hakuna siri tena
 
Maswali mengine naona hayana mantiki kwa sababu unamuuliza Masaburi swali kama hilo wakati viongozi wakuu wa nchi walikuwepo. Masaburi ana uwezo gani wa kufanya maamuzi kuhusu masuala ya nchi. Ni ujuha tuu. UDA Iliuzwa wakati wa waziri mkuu Lowasa. Anzia hapo sasa, kwenye miaka ya 2008. Labda Lowasa ndio atuambie ukweli kuhusu UDA kwanza kwa sababu inawezekana Masaburi alikuwa mtekelezaji tu wa maagizo.
Pia of all the wananchi wa ubungo wameshaamua Kubenea hapati kitu. Tapeli mkubwa wa kisiasa kama huyu kupitia magazeti uchwara ya Mwanahalisi na Mawio, aende akafanye biashara zake za utapeli na uongo kwenye magazeti yake. Hakuna mtu anayemwamini tenaa. Labda atuambie kwanza je miaka yote aluvyokuwa anatuambia Lowasa na Sumaye ni mafisadi wa kutupwa, alikuwa ana maanisha kuwa ni wasafi au? Miaka yote aliokuwa akituambia Richmond ni Lowasa na Lowasa ni Richmond alikuwa ana maana gani. Asikimbilie vyeo tuu kabla hajatoa maelezo ya kutosha kwanza

Usisahau mkuu; km masaburi alilazimishwa na kuu wake wa juu na umejiaminisha hivyo nimekukuba lkn hufikia point kuwa lowasa naye alikuwa na mkuu wake pia aliyemlazimisha kuuza UDA KUWA MUWAZI, na mkuu wake alikua baba riz, km si yy ufafanue vzr kwann aliona uda imeuzwa akakaa kimya?#&$@$%
 
Back
Top Bottom