Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Wakuu.
Jana kwenye taarifa ya habari ya ITV tumehabarishwa kwamba Dk Marina Njelekela yule mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Madaktari-MEWATA ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King na Ubalozi wa Marekani kwa kutambua mchango wake mkubwa anaoufanya wa kuwakomboa Wanawake na Saratani ya Matiti....
Kwa kweli she deserves kupata tuzo hii....na kwa kupata kwake tuzo hii...idadi ya wanawake Watanzania waliopata tuzo hii wanazidi kuongezeka.
Habari ndio hiyo.