Dk. Kigwangalla achukua fomu kuwania uenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi Taifa

Hii ni type ya wale watu ambao enzi zile tukiwa Chuo nadhani waliamini huko mtaani kazi zinapatikana pale unapoambatanisha CV yako na kadi ya CCM. Walikuwa wanani-bore sana hawa. Binafsi naamini unatakiwa mtu kujitoa fahamu ili uwe mwanachama wa kweli (si mnafiki) wa CCM. Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mtu mwenye akili zake timamu, mkweli na mpenda nchi yake kuwa CCM kwa sasa.
 
hahaa..duuuhhhh
 
Leo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.

Mara zote uwa nasema na narudia tena...Kigwangala aachane na siasa akafanye kazi nyingine, yeye na siasa ni kama moto na petrol. Uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, hana sifa na uwezo wa kusimamia watu. Ni mnafiki, muoga na yupo kwa maslahi ya chama chake badala ya watanzania maskini. Huyu ni dhaifu.
 
Cheki Gamba lake, linaanza kumithilisha Gwanda la pipozzzz,
He is alien without his knowing hapo CCM
attachment.php
 
Si alishawahi kusema kuwa ndani ya CCM anachukiwa kwa kuwa anasimamia ukweli na anaupeo mkubwa hivyo siku zote anaepukwa kuchaguliwa.

Yetu macho na masikio tunasubiri kuona na kusikia ili siku akija hapa JF tumfariji au kumpa hongera.

Jamaa ndumila kuwili sana huyu,,,,
 
Ana haki ya kikatiba kugombea lakini kwa michango yake ya hapa JF bado hajatuonyesha kama ana intellect, integrity na direction inayotakiwa kwa national politics za kutusukuma mbele.

Plus hata kama angekuwa navyo vyote hivyo, kuna juggernault la steam engine ya CCM decision making politburos ambazo ziko miaka 200 nyuma ya muda sijui angeweza vipi ku deal nazo.
 
Umuri wake anafaa kuongoza wazazi, anyway magamba mtajibeba!

hivi kazi ya hii jumuiya huwa ni nini? Any succsss stories? mi sijawahi kuisikia popote, hata walimu waliposusa kuwafundisha watoto wao sikuwasikia, bora uende doc. ukawachangamshe na damu yako changa.
 
Baada ya kubwagwa bungeni katika ubunge wa Afrika, huyu si alisema hataki tena kugombea nafasi yoyote maana amegundua CCM wenzake hawampendi
 
go kigwangala....goooo....!

labda tutaiona ccm iliyotupa uhuru
 
Leo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.
Niice
 
Back
Top Bottom