Dk JAKAYA KIKWETE kalisaidia nini taifa?

Aliingiza kampuni feki ya Richimond kufua umeme hewa akisaidiwa na mshilika wake wa karibu Ngoyayi Lowwasa.
 
Tanzania imeendelea kuwa Taifa lenye Umoja, Mshikamano na Huru. Ameendelea kukubalika kimataifa.Ameongeza idadi ya watoto wanaopata elimu ya msingi na sekondari.Anayo miaka isiyozidi minne kuendelea kuongoza Taifa hili.Amewafanya wanasiasa wengi kutamani kugombania Urais.
 
Back
Top Bottom