Dk. Hoseah kuhojiwa Live Channel Ten leo Saa 2.30 usiku

Hilo dudu wala haliumi,sioni hata swali la kumuuliza huyo,mengi ya majibu atakayotoa nnayajua tayari.
 
Ni kwenye kipindi cha Jenereli on Monday.

Sitapoteza muda kuangalia kipndi hiki!! Hana lolote kwa watanzania!!! Kesi zote za rushwa na wizi mkubwa wa kitakukuru awaeleze watanzania amezifanya kitu gani?
 
Si aende TBC1?

CCM inajivunia kuiharibu nchi, Tanzania pamekuwa mahali hatari sana kwa Watanzania wapenda haki...inasikitisha lakini ndio ukweli wenyewe.
 
Kama ni maswali ameshaulizwa mengi mno na mimi sioni la kumuuliza zaidi ya kushauri hiyo taasisi yake ivunjwe kwani imeshidwa kazi. Ruswa imekitiri hadi hao takukuru wanakula rushwa.
 
utangulizi jenerali anauliza kilichobadilika toka takuru hadi takukuru.

jibu: makosa yameongezeka toka 4 hadi 24
 
mafanikio toka 2007 hadi 2011

ongezeko la malalamiko yanayokamilika na kufikishwa mahakamani.

anapendekeza kuwe na mahakama maalumu ya rushwa.
 
Tatizo linaonekana Ofisi ya DPP imeoza. Haiwa watu competent. Kwa hiyo kutokana na sheria inayoitaka Takukuru kuomba kibali ofisi ya DPP basi tusitegemee jipya.
 
Back
Top Bottom