Dkt. Gharib Bilal Makamu wa Rais kwanini hasikiki sana au si maarufu sana kwenye vyombo vya habari?

Mbona Makamu wa Rais wa Marekani hatumsikii, jee unamjua jina lake? Mada nyengine hazina mashiko. Jee wewe uliyeleta hii thread ni GT kweli!!! Tafakari..
 
hao uliowauliza ungefanya 'pilot test'kuuliza kwanza km wanamjua rais wa nchi km ungeona maana wangekutajia Nyerere. hao si watz nchi hii ina raia wa kigeni kibao
 
Bwana Glopu mimi namzungumzia mtu mwenye impact kwa Wa tz moja kwa moja huyo wa marekani ni mbali mno Kwa wamarekani sawa.Ya mimi ni Gt kwani sifa moja ya GTs ni kutofautiana kama ulivyoonyesha wewe.
Ndugu Kajugu, labda uniulize niliwauliza kina nani yaa sample yangu ilifuata utaratibu gani. lakini ukweli uko palpale.
 
unajua unaweza kuishi mahali ukawa humjui mtu fulani ingawa mnaweza kuwa mnakutana lakini akawa hana impact kwako. kutokujua mtu huyo haina maana kuwa hana umuhimu. ukisoma gazeti unaweza kuona habari fulani lakini usione umuhimu wa kuisoma si kwamba si muhimu la! Mfano ni watu wangapi watakuwa interested kusoma habari ya kukata utepe? hoja yangu ni nafasi ya makamu wa rais huyu ni mtu mwenye cheo cha pili kwa ukubwa. sasa je, itakuwaje asijulikane? nafasi yake ndiyo inayomficha au ni yeye hataki kuonekana? kwa nini kwa mfano watu wanasema kikwete ajiuzulu, pinda achia ngazi lakini hawasemi bilal achia ngazi. ina maana nafasi aliyo nayo inamfeva au vipi? Jamani, nadhani naeleweka. maana wengine wanasema mimi si great thinker kumbe wao hawanielewi yaani hawajafikiri hasa ni kwa nini nikasema vile. Kwangu Bilal ni mtu safi tu najua pia kuwa ni mwalimu mzuri sana wa chemistry katika vyuo vikuu.
 
Back
Top Bottom