Dk Gharib Bilal Aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano, wa nchi zisizofungmana Teheran Iran

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797


5996140674267894691-7052464662716335612

[h=1]Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani,Teheran Iran.[/h]
DSC_0368.JPG

DSC_0369.JPG

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani, mkutano huo umeanza leo mjini Teheran Iran.
DSC_0348.JPG

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mku wa Itifaki wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Abad Mobin, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani. mkutano huo umefunguliwa leo mjini Teheran Iran.

Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 
Huko kikwete huwa anapakwepa kweli sijui kunanini? asikie safari ya USA hata kama ni semina ya wazazi atakwenda yeye
 
Da Gama hapendi huko maana hakuna wavaa uchi wala wanamuziki maarufu...b da way jamaa na marafiki zake anaosafiri nao ni watu wa kula anasa za dunia so Tehran hakuwafai
 
Kaenda kuchukua hela ya mzee ya ile deal yao ya kureflag Meli za Iran kwasababu hamna bank za nchi nyingine zinaruhusu hela ya Iran iingie kwenye akaunti za benki zao

LOL.. Anaongea na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Iran aliyekuja kumtembelea BONGO... alimpeleka mpaka Z'Bar!!!
 
Huko kikwete huwa anapakwepa kweli sijui kunanini? asikie safari ya USA hata kama ni semina ya wazazi atakwenda yeye


Ni kweli kabisa, Kikwete haindi East yaani Arabuni; labda kama kuna mikutano ya KIMATAIFA... yeye ni EUROPE na USA...
 
Huko kikwete huwa anapakwepa kweli sijui kunanini? asikie safari ya USA hata kama ni semina ya wazazi atakwenda yeye

Anaogopa marekani watagundua kuwa ana urafiki wa chinichini na Iran; hajui kuwa wenzie wamekwishagundua dealings zake na wanamuangalia kwa karibu sana!!
 
Ni aibu kwa rais KIKWETE kukwepa kuhudhuria mkutano wa kimataifa IRAN tena wa NAM! Ni aibu kuona ktk kipindi chote cha urais kutoimalisha mahusiano na nchi nyingine zaidi ya kuimalisha ubederu/ubepari na nchi zinazotunyonya...Ni mara ngapi JK amekua akienda US ata kwa kuitwa tu na ktk mikutano isiyokua na tija....Leo Dr Bilal kasakiziwa kwenda IRAN next OK ni vizuri lakini mbona hatuoni akimuwakilisha ktk US/UK or EU ?
 
Yote zuga tu kenda kuomba misaada..


Mkandara, miaka ya nyuma ningeshawishika, lakini kwa sasa uwepo wetu kwenye mkutano huo nchini Iran unazua maswali sana. Inawezekana main aim ikawa na msukumo wa misaada toka Iran. Inawezekana ni utekelezaji wa majukumu - kutoka wapi na in exachange for what, hayo ni miongoni mwa maswali!
 
Huu nao ni ufisadi wa kimataifa - si haya mambo ya kutofungamana na upande wo wote ilikuwa ni wakati wa vita baridi? Vita baridi ilikwisha isha, sasa ni pande zipi wasizofungamana nazo! Mafisadi wakubwa.
 
Back
Top Bottom