Dk emanuel nchimbi& dk d.kamala waamua kusomea udaktari kikweli kweli;bravo ccm

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Aidha wakufunzi 12 Mzumbe waliokuwa na PhD zenye utata wamevuliwa.
orodha yao ni kama inavyoonyeshwa hapo chini. Ukitaka kuhakikisha soma current propospectus ya Mzumbe University utaona wameandika wana masters tu. pata majina kamili.
mawaziri wanaosoma Mzumbe ni
1. Emmanuel Nchimbi
2. D. Kamala

wakufunzi waliovuliwa PhD zao ni pamoja na
1. D. Kamala
2. Moses Warioba
3. Christopher Sotta
4. Aestarch Kiwango
5. Colman Riwa
6. Leonard Shio
7. Mujwahuzi Njunwa
8. Prosper Ngowi
9. Benard Nsana
10. Gabriel Elisante
11. Didas Mrina
12. Raphael Habi.
regards,


 
Sasa mbona bado unawaita DR. hao ni Mr. Badilisha heading yako na Kuwa Mr. PhD ni kazi bwana kuipata kama hao wanaosoma part time kama wao wanatakiwa wachukue five to seven years. Wanaosoma fulltime ndo wanatumia three to four years ana wengine wanakwenda hadi five years.
 
sasa mbona bado unawaita dr. Hao ni mr. Badilisha heading yako na kuwa mr. Phd ni kazi bwana kuipata kama hao wanaosoma part time kama wao wanatakiwa wachukue five to seven years. Wanaosoma fulltime ndo wanatumia three to four years ana wengine wanakwenda hadi five years.

kumradhi mkuu kyangalo

ni "dk" nchimbi na "dk" kamala waanza kusomea udaktari halisi
 
mawaziri wanaosoma Mzumbe ni
1. Emmanuel Nchimbi
2. D. Kamala


BINAFSI HUYU ALIEVULIWA KWA KUDANGANYA ASINGERUHUSIWA KURUDIA CHUO KILE KILE MKUU WA CHUO CHA MZUMBE ANAITAJI KURESIGN KWANZA....AELEZE SABABU ZA KUMRUDISHA TAPELI WA KIMASOMO KWENYE CHUO ALICHODANGANYA...THIS IS CRAIZYNESS JAMANI..

wakufunzi waliovuliwa PhD zao ni pamoja na
1. D. Kamala
 
Back
Top Bottom