Mtamlaumu JK kwa kila hali lakini ukweli unabakia kwamba asilimia 80 ya bajeti ya AFYA inatumiwa kwa matumizi ya kawaida. Iwe mishahara posho na kadhalika, hivyo ukitaka mishahara mikubwa zaidi ina maana tunataka matumizi zaidi ya kawaida.
Haitamsaidia mwananchi hata kidogo, swala ni kukata matumizi, kuondoa malipo yasiyokuwa na maana sehemu zote amabazo viongozi wetu wanahudumiwa.
Tukate mashangingi, tukate posho, tukate fungu la chai, kuwalipia wafanyakazi na madereva wa viongozi. Bila kufanya hayo hatuwezi kabisa kupata suluhu kwa kuitafuta raise ya mishahara kutoka fungu la maendeleo.