Dk Chitega: Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima kusitisha huduma

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
:israel: "Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima, wauguzi na wafanyakazi wa sekta ya afya kwa ujumla wao kwa kusitisha huduma baada ya kupigwa mwenzetu. Tunaomba mshikamano huu uendelee," alisema Dk Chitega.:eek2:
 
Attachments

  • dk-edwin.jpg
    dk-edwin.jpg
    11.5 KB · Views: 196
ni heri madaktari watumie muda huu kujilinda na utekaji/vipigo!it aint safe no more!!
 
Naomba Mungu ajaalie yapatikane maradhi yanayotibika Hospitali kwa Dkt Chitega alafu akienda Hospitali akute MGOMO
 
Naomba Mungu ajaalie yapatikane maradhi yanayotibika Hospitali kwa Dkt Chitega alafu akienda Hospitali akute MGOMO

Mkame hebu kwanzan tuambie ule mpango wako wa kubadilisha makatibu wakuu na ma DG lini? au huwa unawaza 'kuwekeza' ukiwa na dhiki tu lakini 'ukishiba' unasahau kuwekeza?
 
Ule mpango upo, tatizo limekuja katika urasimu na masuala ya replacements, Bunge nk. Ila utatekelezwa

Mkame hebu kwanzan tuambie ule mpango wako wa kubadilisha makatibu wakuu na ma DG lini? au huwa unawaza 'kuwekeza' ukiwa na dhiki tu lakini 'ukishiba' unasahau kuwekeza?
 
Huyu Chitega ni kiazi kweli. Anasema hivyo kwakuwa yeye yuko hapa mjini na anaweza kwenda Private Hospital. Ningependa wazazi wake na ndugu zake wa karibu walioko huko mkoani na vijijini wangeumwa then tuone hiyo kauli yake. Akili kama ya Kigwangala vile ambaye anafikiria uchawi.
 
Ni hatari sana kushangilia vifo vya watanzani a wenzake kwa sababu ya ulafi wake! Mungu atawalinda watanzania maskini hawa.
 
kikwete na serikali yake wanaua wangapi pesa ya
1 rada
2 wasiolipa kodi madini
3 wasiolipa kodi makampuni ya simu
4 mikata yote mibovu
pesa zile zingeweza kulipa mishahara waalimu madoctor mishahara mizuri
hivyo kikwete na pinda ni wauwaji sana kuliko mgomo wa madoctor
 
Serikali iache siasa uwezo wa madaktari na wafanyakazi wa serikali kulipwa vizuri inawezekana waachane na posho za kijinga, wakusanye kodi, waache misamaha ya kijinga ya kodi, na ibane matumizi kwenye magari na manunuzi mengine
 
Naona hatari inakuja Tanzania jamani,yani kila siku tunaamka na matamko tofauti na la jana.tunaenda wapi jamani kama nchi. me naiomba serikali ishughulikie matatizo ya wananchi. tumechoka na kauli kila kukicha
 
Naomba Mungu ajaalie yapatikane maradhi yanayotibika Hospitali kwa Dkt Chitega alafu akienda Hospitali akute MGOMO
Yeye ni mwenzetu so far tutamtibu! Tunakuwepo maeneo ya Hospitali na kumtibu staff mwenzetu yeyote au hata tusipokuwepo tunapigiwa simu na kutokea maeneo hayo!
 
Kwa hiyo kutokana na kujaaliwa TAALUMA ya UDAKTARI mnawatenga wasio na taaluma hiyo kwa kuwanyima ESSENTIAL SERVICE?

Mungu YUPO

Na malipo hapa hapa duniani.

Kuwaweka REHANI watanzania wanyonge wanaowategemea kwa UTASHI wa SIASA?

Kukiuka SHERIA ZA NCHI

Yeye ni mwenzetu so far tutamtibu! Tunakuwepo maeneo ya Hospitali na kumtibu staff mwenzetu yeyote au hata tusipokuwepo tunapigiwa simu na kutokea maeneo hayo!
 
Huyu Chitega ni kiazi kweli. Anasema hivyo kwakuwa yeye yuko hapa mjini na anaweza kwenda Private Hospital. Ningependa wazazi wake na ndugu zake wa karibu walioko huko mkoani na vijijini wangeumwa then tuone hiyo kauli yake. Akili kama ya Kigwangala vile ambaye anafikiria uchawi.
najaribu kufikiri tu kwamba kati ya wewe uleandika upuu9z8i wako hapa na huyo dr. Nani mwenye akili uzozisema.Do you have an idea of how many preventable deaths do occur everyday kwa sababu tumewapa wapuuzi flani mamlaka ya kuiongoza hii nchi??
Unaikumbuka hii-'How on earth did this man(kikwete),a muzungu worshiper, became a president of a country'? quated from the Guardian UK
na hii hapa...'tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa rais,uzembe wa bunge na uupuuzi wa ccm'..jj mnyika.
Mzee shughulika na chanzo cha tatizo sio matokeo.
 
kikwete na serikali yake wanaua wangapi pesa ya
1 rada
2 wasiolipa kodi madini
3 wasiolipa kodi makampuni ya simu
4 mikata yote mibovu
pesa zile zingeweza kulipa mishahara waalimu madoctor mishahara mizuri
hivyo kikwete na pinda ni wauwaji sana kuliko mgomo wa madoctor

Wakati tunasubiri hizo fedha nyingine JK aagize zile fedha zilizopo bank ya Swiss zirudi wakati uchunguzi ukiendelea ni kwa viopi hizo fedha zimefika Swiss, kwa kweli akifanya hivyo nitajua JK siyo Dhaifu na amedhamiria kuleta mabadiliko Tanzania.
 
Back
Top Bottom