Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

It is very interesting to read every time this Dr make statements,he sounds more like a CCM spokesman than a Dr who has critical analysis of issues, I beg to differ in many of your statements Dr.
The country is rotten and you elite in the country are being lazy to think and come with ways to change the country, majority of the elites are only looking after their benefits and not ashamed to defend or come with analysis which suggest we are all fools.
The country is in critical condition, why should CUF and CHADEMA wait until election time? They are not preventing CCM to imlpement their policy,they are doing their role as opposition party to point out the weakness of CCM, educate people and come with alternative policies.
CCM can not implement its policies because its rotten to its core,they promise what they couldn't deliver and it is a joke to say to opposition to leave CCM to implement its manifesto in peace.
Stand up the country is depending on you guys to be critical and suggest better ways of moving forward not sitting defending CCM , we are not fools, the more you come up with this jokes statement the less respect you are getting from Tanzanians, not that you care. Where are all those brave elites we use to have? The one who were not afraid to difffer with Julius, where are those academics who use to analyse things without political bias?
 
Na Datus Boniface

Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana amevijia juu vyama vya siasa na kukosoa kauli mbiu zao ikiwemo ya Movement for Change (M4C), inayotumiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na V4C ambayo inatumiwa na chama cha Wananchi CUF, kuwa siyo wakati wake kwa sasa.

Hivyo,waiache serikali iliyoko madarakani chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutekeleza ahadi na ilani zake kwa Wananchi.

Dk. Bana alisema hayo jijini Dar es Salaam leo katika semina ya siku moja yenye kujadili masuala ya Sheria kwa vyama vya siasa iliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

“M4C siyo wa halali siyo wakati wake kwa sasa, kama kila chama kitakuja na Kauli Mbiu yake itaipeleka nchi pabaya, Wananchi wana matatizo mengi ambayo yanahitaji kufanyiwa kazi kwa sasa badala ya mikutano inayofanywa na vyama vya siasa” alisema.

Kwa mujibu wa kauli yake, Kauli Mbiu hizo zina wakati wake ikiwemo kipindi cha kampeni za uchaguzi.

Alienda mbali zaidi na kuwataka viongozi wa vyama hivyo kuiacha serikali itekeleze ahadi zake kwa uhuru na amani.

Ndo nani huyo Dr Bana kwenye shea ya siasa za nchi hii?
 
Bahati mbaya sana hajaeleza ni kwa jinsi gani hiyo M4C na V4C zinaizua serikali kutimiza majukumu yake. Inaonyesha aliongea kisiasa zaidi.
 
Na Datus Boniface

Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana amevijia juu vyama vya siasa na kukosoa kauli mbiu zao ikiwemo ya Movement for Change (M4C), inayotumiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo na V4C ambayo inatumiwa na chama cha Wananchi CUF, kuwa siyo wakati wake kwa sasa.

Hivyo,waiache serikali iliyoko madarakani chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutekeleza ahadi na ilani zake kwa Wananchi.

Dk. Bana alisema hayo jijini Dar es Salaam leo katika semina ya siku moja yenye kujadili masuala ya Sheria kwa vyama vya siasa iliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

“M4C siyo wa halali siyo wakati wake kwa sasa, kama kila chama kitakuja na Kauli Mbiu yake itaipeleka nchi pabaya, Wananchi wana matatizo mengi ambayo yanahitaji kufanyiwa kazi kwa sasa badala ya mikutano inayofanywa na vyama vya siasa” alisema.

Kwa mujibu wa kauli yake, Kauli Mbiu hizo zina wakati wake ikiwemo kipindi cha kampeni za uchaguzi.

Alienda mbali zaidi na kuwataka viongozi wa vyama hivyo kuiacha serikali itekeleze ahadi zake kwa uhuru na amani.

Huyu Bana huwa ana "kimbele mbele sana"Huenda anawania kumrithi Mzee wa OP (off-point) Bwana Tendwa. Tunakutakia kila la heri Dr Bana. Sijui utakuwa lini Profesa?
 
huyu hupewa kazi nyingi za kiutafiti na jk na pia ni mshauri wa rais kwa masuala siasa hivyo analinda mkate wake.
 
Kusema hukweli huyu jamaa anafanya hata watoto wanaosoma shule za Msingi wadharau shahada za uzamivu''PhDs". Jamani hivi niwaulize wana JF, visima na hata barabara hajengwi kwa vile M4C iko kazini ? Mtu mzima ovyo.. kama mwanangu angekuwa anasomeshwa na hi;i jamaa ningemtoa UDSM asome course kwingine..............``0000%>,g
PHP:
[PHP][JFMP3][/JFMP3]
[/PHP]
 
Kama imemkera nadhani akafanye tena utafiti na kale kamradi kake (SINOVETE) kalikompatia umakamu wa rais wa chuo kikuu cha dar es salaam kwa kutoa ripoti za kujikombakomba kwa rais kikwete. Ripoti ioneshe kuwa kauli mbiu ya M4c imefeli kwani haikufanikiwa kabisa kwani haikuiwezesha CHADEMA kupata mwanachama mpya angalau mmoja. Ila kama anaweza kusema hadharani kuwa M4C imechangia serikali kushindwa kutimiza ahadi zake nina mashaka sana na upeo wake wa kufikiri huyu anayejiita profesa (inawezekana pia kapewa tu kama wale majaji waliotajwa na Tundu Lisu).
 
huyu hanaga la kuongea na ni mtu ambaye wanasiasa wengi uwa wanamchukia na wengi uwa hawapendi kusikia maoni yake kwa sababu za pumba zake.
 
Huyu jamaa kila siku zinavyo songa mbele na yeye huzidi kuchanganyikiwa kwa mapenzi ya dhati aliyonayo kwa ccm badala ya nchi yake..

Kwani kazi ya chama cha siasa ni nini? Au wa kutatua matatizo ya wananchi na nani? Mbona kisomo chake kinaonekana kimeshindwa kumfanya kuwa mtu mwenye fikra chanya badala yake ni kama hajasoma na hana uelewa angalau wa kiwango hata cha asiye soma, mapenzi bwana tabu tupu.
 
Dr Bana is classic example ya madhara ya ku-krame mambo bila kujua ume-krame nini. Heshma yake mbele ya wasomi imeisha kabisa sasa hivi kabisa kufanya seminar na Tambwe Hiza!
 
Mwenye picha yake aitundike humu tafadhali.

AZiK9APHtHnfAAAAAElFTkSuQmCC

Mzee wa kukariri
 
Kwa sie tuliosoma Chemistry ya form 2A namwona huyu jamaa jina lake na kauli zake zinafanana na Bunsen Burner iliyoharibika na kuanza kulipuka kila mara badala ya kutoa NON LUMINOUS FLAME
 
Saint Ivuga,

Sasa, hivi ulitarajia Bana kama Consultant wa CCM awasifie CHADEMA/CUF hata kidogo?

Huyu jamaa (Bana) ana kichwa chenye kifuu cha nazi.
Ni aibu kwa mtu anayeitwa msomi kuzungumza vitu vya kijinga kama alivyofanya.
Nina mashaka kwamba hata kielimu kuna mtu amekuwa akimbeba. Ni mjinga sawa na anaowatetea!
 
the best swahili novel,
pia usimsahau prof Haroub Othman,kuna siku SHIVJ ALISOMA SHAIRI PALE UDSM AKASEMA KWANINI WANAKUFA WATU WAZURI AMBAO BADO WANAHITAJIKA???

Kamanda una kumbukumbu nzuri sana.
Hiyo ilikuwa ni katika kumbukumbu ya kifo cha Prof.Othman, pale Nkurumah Hall, mwaka 2008.
Katika utenzi wake,Shivji alionyesha masikitiko kwa nini Mungu anachukua watu wema na kuacha mafisadi na wezi
Mstari huo, katika shairi lake hilo ulinigusa sana wakati huo na hata sasa ulipourudia umenigusa pia.
Asante kamanda Ngala Moja.

CCM na serikali yake imekabwa koo, sasa inatumia vibaraka wake kuomba huruma. Aseme tu kama kuna sheria imevunjwa, vinginevyo akae kimya.

Ila CUF nao wamezidi kuiga kuliko hata mume wao CCM, walianza wote kuiga matumizi ya Helkopta, sasa leo wanaiga kuchangisha pesa(harambe), sasa mpaka V4C .

umbumbu unakusumbua. V4c ipo muda mrefu toka 2010 na harambee ya cuf haifanani na cdm ya cuf matembezi ya hisani nayanakwenda mbali zaidi kuzindua opereshen mchakamchaka. Kipi kimeigwa acheni utoto. Cuf inamipango yake.
 
CCM na serikali yake imekabwa koo, sasa inatumia vibaraka wake kuomba huruma. Aseme tu kama kuna sheria imevunjwa, vinginevyo akae kimya.

Ila CUF nao wamezidi kuiga kuliko hata mume wao CCM, walianza wote kuiga matumizi ya Helkopta, sasa leo wanaiga kuchangisha pesa(harambe), sasa mpaka V4C .

umbumbu unakusumbua. V4c ipo muda mrefu toka 2010 na harambee ya cuf haifanani na cdm ya cuf matembezi ya hisani nayanakwenda mbali zaidi kuzindua opereshen mchakamchaka. Kipi kimeigwa acheni utoto. Cuf inamipango yake.,.
 
Hivi CUF ni chama bado? Mi nahisi ni kombe linalofunikwa mwanaharamu apite. . .for anyone's sake hata mtoto wangu wa chekechea anajua CUF waliiga M4C Kama hamkuiga basi mnatumika bila kujijua. . .angalizo. . .wanaowatumia watawatupa baadae kama makarai baada ya ujenzi.
 
Back
Top Bottom