Dj Steve B Vs Dj JD

EAST AFRICAS BEST DJS ni kama ifuatavyo.1.DJ JD 2.DJ PINYEE 3.DJ STEVIE B 4.DJ RICO 5.RANKIM RAMADHAN 6.PETER MO.7.DJ COOL PARA 8.DJ 45KING 9.DJ MALIS 10.DJ PQ 11. DJ BHAA 12.DJ CUTTER 13.BUSH BABY.14.DJ BON LUV15.DJ KWA FUJO16.DJ J4 17.EMA BLAZE NA KUENDELEA
Duh hii ndio kali kabisa Dj Bonny Luv namba 14!! Tunainajisi hii thread wakuu!
 
Steve B BADO hajafikia uwezo wa Dj JD..mnaweza kuniambia sasa tuna generations ngapi za Tanzanian DJ's?
naongelea kuanzia enzi za wakongwe kina chriss phabby, kalikalii (RIP), seydou, joe (RIP) na wengineo wakali enzi za mbowe, msasani beach,rungwe oceanic,ushirika club etc..
binafsi namweka JD kwenye level ya BONNIE LUV
 
Umesema vyema mkuu,kwa mtu anaejua muziki utafahamu kwa tanzania Dj JD na Bonny Luv hawana mfano na wamedumu ktk kiwango miaka mingi sana! Kuhusu generation nafikiri kwa Tanzania tuna generation ya 3 ya madj ambapo ya kwanza ni ya akina Dj Kali kali ya pili ndio akina Dj JD na Bonny Luv na tatu ndio hawa akina Dj Steve B! Sina hakika sana labda wakongwe zaidi watusaidie.
 
nadhani mjadala huu unafanywa na watu ambao hawakuweppo wakati akina DJ JD wako active kwenye fani. hao mnaowataja siku hizi sioni umahiri wao. ukitaka kuhakikisha hilo angalia kwenye hizo radio station zenu na tv. utagundua kuwa kila alikopita JD na wenzake wa kizazi chake ( kina Rankim, fast Eddie, Misanya,Master T , prince Baina kamukulu- young Millionaire nk), vipindi walivyovianzisha vimebaki hivyohivyo hadi leo na wale walioanzisha vipya kwenye vituo vipya waliiga mfumo uleule waliouacha. kama unabisha fanya utafiti wewe mwenyewe utaona ukweli. kama hao wa siku hizi ni wakali mbona wanashindwa kuja na jipya kwenye fani? kuna mtu hapo juu kawaita music selectors, kama kuna kaukweli vile. hivi si nasikia matangazo ya watu kutaka kukumbushwa Tazara, Pink coconut, silent inn! hii maana yake nini? kuna mapungufu kwenye entertainment indusrty? au ya kale dhahabu?! ni mtazamo wangu.
 
Ni kweli mkuu,siku hizi hakuna madj wa kuvutia,ila sahihisho dogo ktk uliowataja hapo juu,Master T,Prince baina na Misanya sio na hawajawahi kuwa madj! Hata wao wenyewe hawajawahi kujiita Dj fulani! Labda udj wa kipindi kinachoitwa chaguo la dj ambacho hata rose chitala anakiendesha,tunapozungumzia Madj ni wale by professional mkuu hao uliowataja ni watangazaji kama Gadner G habash! Madj by professional wachache sana mkuu!
 
pipo mnaleta stori na bifu za klauzi na thugu humu ndani.....EM TOKENI HUKO, Kabishaneni Vichochoroni, 2mechoka upuuzi wenu wa Na umamluki sasa. Badala kukaa kufanya ishu za maana mnafata mikumbo 2 ya clauzi na Thugu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom