Diwani wa sombechini aachana na CCM na kuhamia CDM leo

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Niaje kaka , breaking news, Diwani wa sombetin amejiuzuru udiwani na kujiunga na CHADEMA, Duh kunanai CCM arusha?
 
persistance!persistance!persistance!
Chadema endeleeni kuhamasisha wananchi.
 
Hiyo mbona inajulikana muda mrefu sana? Tuambie viongozi wengine walio-defect nichome kilo moja sasa hivi hapa kwa mromboo!
 
Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv
 
Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv

Kabla ya kuanzisha uzi pitia pitia nyuzi nyingine vinginevyo unaweza kuwa kichekesho mkuu. Siyo ukiangalia ITV au TBC1 unakurupuka kuanzisha uzi ambao upo toka asubuhi.
 
Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv

Mkuu, hii habari imeshajadiliwa sana tayari hapa JF, sio mbaya lakini, pengine hukuwa na access na mtandao kwa sababu yoyote ile ...
 
Back
Top Bottom