Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

Hv hii operesheni inaitwaje sasa? ningekuwa frontline ningependekeza iitwe OPERESHENI GHADHABU YA UMMA.
 
Breaking News:

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Lugata (CCM) Wilaya ya Sengerema Adrian Tizeba amekihama chama hicho na kuhamia CHADEMA,

Diwani huyo kwa sasa yuko na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema pamoja na Katibu wa Chadema Kinondoni wakielekea kwenye mkutano wa hadhara Mjini Geita ambapo atakabidhiwa kadi yake mpya ya CHADEMA na Katibu wa Mkuu wa chama hicho Mh. Wilbrod Slaa,

Kwa Mujibu wa Mh. Lema, kesho atawatangaza Madiwani wengine wanne wa Jimbo la Sengerema (CCM) wakiwa na wenyeviti 22 wa vitongoji pamoja na wanachama wao ambao kwa pamoja wamehamua kukihama Chama cha Mapinduzi na Kuhamia CHADEMA wakilalamika kufilisikia kimawazo na kimtazamo kwa kilichokuwa Chama chao.

Sikiliza Arusha Mambo FM, tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM..." na tutajiunga na na wenzetu walioko eneo la tukio ili kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja ya kuhama kwa diwani huyo.

Source Arusha Mambo.
Ninasikia HARUFU MBAYA ya mzoga wa jitu nene sana lililokuwa likiitwa CCM
 
Hongera sana kamanda Lema pamoja na Kilewo kwa mapambano mnayoyaongoza ili kulikomboa Taifa langu zuri Tanzania. Nawatakia kila la kheri na Mungu wa mbinguni awatangulie na kuwalinda na kuwafanya viongozi wakuu wa CCM waendelee **** na moyo mgumu kama ilivyokuwa kwa Farao ili uhuru wa kweli utakapopatikana ainuliwe na kutukuzwa.
 
Back
Top Bottom