Diwani wa Kata ya Sombetini (CCM, Arusha) ahamia CHADEMA

Kuwa ccm ni janga...huwezi katiza arusha na mijez ya ccm bila kupata shida
 
Yupo wapi 'Ritz' Rejao','kengemaji',na mhuni aitwae 'Tume ya Kitabu' wachangie kuonesha hisia za magamba
 
jamani cdm inakua/imekua na watu wameikubali,nimekuwa makambako na ilembula,,vjana wamenitundika bendera za cdm kwenye miti jirani na maeneo yao,wapo wanavaa scarf,wengine kofia(mizula) mwamko ni mkubwa. Chadema taifa angalieni namna ya kukipanua chama na kusambaza SUMU ya mabadiliko kwa kutengeneza kofia,bendera,scarf watu watanunua na kuzivaa,tulipofikia watu wana ona fahari kupeperusha chochote cha cdm
 
Back
Top Bottom