Diwani wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga mjini (CCM) afariki dunia

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki

source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio
 
R.I.P diwani, nina ombi maalumu inapotokea suala la kifo suala la Magamba na Magwanda tuweke pembeni tuwe wamoja kwani kila mtu atakufa. Kuwa Magamba au Magwanda siyo symbol ya superiority au inferiority wakuu.
 
diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki

source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio

sumatra hawaoni hizo ajali za pikipiki zinavyotumaliza?wao wanakimbilia kuifungia dar exp
 
R.I.P diwani, nina ombi maalumu inapotokea suala la kifo suala la Magamba na Magwanda tuweke pembeni tuwe wamoja kwani kila mtu atakufa. Kuwa Magamba au Magwanda siyo symbol ya superiority au inferiority wakuu.

R.I.P Diwani,tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi!Ila mkuu ni vizuri watu wakajua alikuwa chama gani,sema labda maneno kama magamba au magwanda yasitumike na badala yake yatumike majina sahihi ya vyama kama ccm au chadema
 
Oh diwani!! Kwanini CCM hawakumnunulia gari kutimiza majukumu yake? RIP
 
Sisi tupo pale kuhakikisha kama kweli amekufa ili CDM tuchukue kata yetu, Yeye RIP
 
Diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki

source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio

R.I.P diwani!
Hiyo ajali imetokeaje? Nani alikuwa anaendesha pikipiki?
 
R.I.P diwani, nina ombi maalumu inapotokea suala la kifo suala la Magamba na Magwanda tuweke pembeni tuwe wamoja kwani kila mtu atakufa. Kuwa Magamba au Magwanda siyo symbol ya superiority au inferiority wakuu.

R.I.P. Diwani.
Mzee wa Rula, Issue siyo Superiority au Inferiority, Issue ni Kata liko wazi wapambanaji wakapige kambi kulikomboa!
 
Poleni sana, nguvu kazi ya taifa inapotea tu, weee mchina wewe jamani!!
 
Diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki

source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio

Angalia usimzushie kifo kabla. Unatakiwa ufuatilie kuwa na uhakika na habari yako. Kupoteza maisha kwa mtu mwenye famillia yake sio kitu cha masihara jamani kuna wataomtegemea, achilia mbali wapiga kura wake.
 
Diwani wa kata ya mwawaza jimbo la shinyanga mjini amefariki dunia baada ya kupata ajali ya pikipiki

source; mimi mwenyewe niko eneo la tukio
Mkuu kafa mmoja tu? mimi nadhani walikuwa wamepakizana ili wote walale salama. Magamba nuksi.
 
mwingine tena?? Kwakweli huu ni mwaka wa madiwani anyway bwana amekupenda zaidrest in peace mkuu.
 
Back
Top Bottom