Diwani wa CHADEMA apata ajali

Pole sana,
Mungu na akujalie nafuu ya mapema pamoja na wengine waliojeruhiwa pamoja nawe.
 
Diwani wa kata ya njoro katika manispaa ya Moshi Mh.Jomba Koy amepata ajali mbaya mkoani shinyanga akiwa safarin kuelekea nyumban kwake musoma akiwa na familia yake taarifa ni kwamba hali yake sio mzuri na yupo katika hospitaki ya mkoa wa shinyanga

Mungu mweza yote atakuponya.Tunakuombea kwa Mungu wetu aliyehai.Kamanda wetu tunakuombea kwa Mungu ili asiruhusu huzuni kabla ya kutimiza ndoto yetu ya kuikomboa nchi hii kwa mara ya pili 2015.
 
Back
Top Bottom