Diwani wa CHADEMA apata ajali

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Diwani wa kata ya njoro katika manispaa ya Moshi Mh.Jomba Koy amepata ajali mbaya mkoani shinyanga akiwa safarin kuelekea nyumban kwake musoma akiwa na familia yake taarifa ni kwamba hali yake sio mzuri na yupo katika hospitaki ya mkoa wa shinyanga
 
Oops,mungu wetu akufanike kwa damu ya kristo na upone haraka kamanda wetu.mungu ni muweza wa yote na atasikia maombi yetu ameni.
 
pole sana MH.Diwani, je ilikuwa ni ajari ya gari au? limegongwa au limepinduka, limeungua, etc?
 
Back
Top Bottom