Diwani wa CHADEMA aliyejiuzulu Mbeya

Mimi nipo mby diwani aliyejiuzuru anaitwa mwakalobo kutoka kata ya nzomve, ameandika barua ya kujiuzulu kwa meya ,lakini cdm wamemkataza kufanya hivyo na wamemtaka afute kauli hiyo. Kwasasa amefichwa mbozi.

Nadhani pesa inatembea baada ya ccm kumeguka


what is this???nahisi chadema inaharibu!
 
Bibie mbona unaandika kwa hasira!Kwani Cadema kinaendeshwa na malaika walioteremshwa toka mbiguni?Makosa ya CDM mtayalipia kwa viongozi wenu kuikimbia kambi yenu pamoja na wannchi.CDM wamewaahidi viongozi na wananchi mambo lukuki, mambo ambayo hayaonekani.Na hayo ndio matokeo yake.
Kuna ahadi lukuki nyingi zilizowahi kutolewa kushinda za Mgombea Urais wa CCM?Nadhani ahadi zake zinatosha kabisa kumweka ktk Guinnes Book!
 
Back
Top Bottom