Diwani wa CHADEMA aliyejiuzulu Mbeya

Amewithdrawal baada ya wananchi wa Mbeya kumtishia kuwa watamchinja,wameshika mtego wa Chama Cha Magamba kupitia Mwandosya alivyomnunua na wanajua na pesa zote alizompa mahala alipopewa na maongezi yote yalivyokwenda.Walitaka kumpa kadi kwenye mkutano wake wa leo wananchi wamesema ama zake ama zao ,kama mujuavyo Giant Ndosya amepewa kazi maalumu ya kusambaratisha upinzani Mbeya
toka jana wamekuwa wakisafirrisha wananchi toka Kyela,Mbozi,Ileje,Mbarali.Rungwe,Chunya na wanambeya wamesema kama watahubiri sera zao wasithubutu kukashifu Chadema na viongozi wao ,wakifanya hivyo Mbeya itakuwa majivu leo
Meya Kapunga tayari kapeleka barua Tamisemi eti Diwani kajiuzulu nadhani Chadema Mkoa au Wilaya watalitolea ufafanuzi ,wajinga kweli chama cha Magamba wanarudisha demokrasia nyuma wanataka tutwangane risasi ndio watafurahi
 
mkuki kwa nguruwe kwa binaadam............, kuondoka diwani mbona ni mtu mdogo kuna kigogo kinang'oka nini diwani.
 
Nadhani iundwe inteligency unit ya chama kwa ajili ya kuchunguza wagombea na mienendo ya viongozi. Kama kiongozi akigundulika anataka kuhongwa basi ashughulikiwe kidesign ambayo hatakaa arudie tena. Vyama vyote vikubwa huwa vina system ya kudhibiti mambo haya lasivyo wakiwa wapole sana kutajaa matakata yasiyokuwa na uzalendo kwa chama na nchi kwa ujumla bali matumbo yao.
 
Wananchi ndio wenye solution ya hii tabia ya kigeugeu. Watu wamzomee kila kona atakayokatiza for the rest of his life. Unless watu wawe wakali tutaendelea kuwa na tatizo la mamluki lakini wakijua kuwa wananchi watawashughulikia hakuna kiongozi atakayethubutu. Shitambala yuko wapi?

Inteligensia ya ndani ya chama sawa, lakini wananchi wawashughulikie vigeugeu. Kama huyu Diwani wampe HELL!

nafikiri hiyo ndiyo iliyobaki ili iwe fundisho kwa wote
 
Amewithdrawal baada ya wananchi wa Mbeya kumtishia kuwa watamchinja,wameshika mtego wa Chama Cha Magamba kupitia Mwandosya alivyomnunua na wanajua na pesa zote alizompa mahala alipopewa na maongezi yote yalivyokwenda.Walitaka kumpa kadi kwenye mkutano wake wa leo wananchi wamesema ama zake ama zao ,kama mujuavyo Giant Ndosya amepewa kazi maalumu ya kusambaratisha upinzani Mbeya
toka jana wamekuwa wakisafirrisha wananchi toka Kyela,Mbozi,Ileje,Mbarali.Rungwe,Chunya na wanambeya wamesema kama watahubiri sera zao wasithubutu kukashifu Chadema na viongozi wao ,wakifanya hivyo Mbeya itakuwa majivu leo
Meya Kapunga tayari kapeleka barua Tamisemi eti Diwani kajiuzulu nadhani Chadema Mkoa au Wilaya watalitolea ufafanuzi ,wajinga kweli chama cha Magamba wanarudisha demokrasia nyuma wanataka tutwangane risasi ndio watafurahi

ikithibitishwa hiyo tunaomba wapenda mabadiliko wote mbeya mchukue hatua kali ambazo zitakuwa funzo!
 
Amewithdrawal baada ya wananchi wa Mbeya kumtishia kuwa watamchinja,wameshika mtego wa Chama Cha Magamba kupitia Mwandosya alivyomnunua na wanajua na pesa zote alizompa mahala alipopewa na maongezi yote yalivyokwenda.Walitaka kumpa kadi kwenye mkutano wake wa leo wananchi wamesema ama zake ama zao ,kama mujuavyo Giant Ndosya amepewa kazi maalumu ya kusambaratisha upinzani Mbeya toka jana wamekuwa wakisafirrisha wananchi toka Kyela,Mbozi,Ileje,Mbarali.Rungwe,Chunya na wanambeya wamesema kama watahubiri sera zao wasithubutu kukashifu Chadema na viongozi wao ,wakifanya hivyo Mbeya itakuwa majivu leoMeya Kapunga tayari kapeleka barua Tamisemi eti Diwani kajiuzulu nadhani Chadema Mkoa au Wilaya watalitolea ufafanuzi ,wajinga kweli chama cha Magamba wanarudisha demokrasia nyuma wanataka tutwangane risasi ndio watafurahi
Hongera vijana wa cdm, nadhani hii ndo njia ya kuwathibiti viongozi wanaotaka vyeo kwa ajili ya matumbo yao.Huyu diwani nadhani hajaelewa kuwa kura ni za wananchi na wala hana haki ya kutumia kura zao kujipatia hongo kutoka kwa magamba. Kama hakuwa tayari aligombea kwa ajili ya nini. Ni halali yao wananchi hata kummaliza kama ataleta huu mchezo mchafu.Lazima viongozi wa kuchaguliwa wajuwe kuwa vyeo wanavyopewa na wananchi si vyao, hawawezi kuamka tu na kuuza kwa wengine kana kwamba walivisotea.Nadhani chadema ipitishe sheria na viongozi wote wa kuchaguliwa wa sign inayomtaka kiongozi au mgombea akubali kuwa uongozi anautaka ni wawananchi na hana madaraka ya kuwasaliti wakishampa kura unless kwa case ya ugonjwa unaoeleweka. Hii ndo iwe system ya chadema, kama mtu anayejua atakuja kujihudhuru basi asichuukuwe kabisa hata form za kugombea. Hii itawamaliza kabisa huu ujinga wa mapopo.
 
Wana jf huko Mby tupeni habari!
Nasikia amebadili nia ameandika barua ya kufuta barua ya awali

Soma habari hii,.......
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbeya Mjini, kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nzovvwe, Hezron Mwakalobo kujiuzulu.

Mwakalobo aliandika barua ya kujiuzulu Julai 11, mwaka huu ambayo aliikabidhi kwa Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga.
Mwakalobo akizungumza na NIPASHE, alisema alichukua uamuzi wa kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na kutoelewana na Katibu Mwenezi wa Wilaya Chadema, Job Zebadia Mwanyerere.

“Nikweli nimeandika barua ya kujizulu udiwani ambayo nimeikabidhi kwa Meya wa Jiji la Mbeya, nimefanya hivyo kwa sababu ya kutoelewana na katibu mwenezi wangu,” alisema Mwakalobo ambaye hata hivyo hakufafanua walitofautiana katika jambo gani.

Kujizulu kwale kumezua taharuki kubwa kwa viongozi wa Chadema wilaya ambao Julai 12, mwaka huu walimwita na kumuuliza ni kitu gani kilichomsibu na ndipo wakakubaliana aandike barua nyingine ya kufuta barua yake ya awali ya kujizulu.

Meya Kapunga alisema atakaporejea toka safarini kutoka Arusha atalitolea taarifa suala hilo. Mwanyerere alisema kilichotokea ni kwamba wananchi wa kata hiyo walikuwa wanaeleza kero kadhaa kwake (Mwanyerere), lakini anapomfikishia diwani wake anaona kama vile wanamchimba.

Kujizulu kwa diwani huyo kumekuja wiki mbili baada ya kutokea kwa uvumi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepanga mkakati wa kuwanunua madiwani wa Chadema kwa kiasi chochote cha fedha ili wajiuzulu udiwani na kujiunga CCM.

Madiwani wa Chadema wakizungumza na NIPASHE Juni 29, 2011 wakati wa kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, walikiri kuanza kufuatwa na wanachama wa CCM ambao wanawashawishi wajiuzulu udiwani kwa kupewa pesa ili wajiunge na CCM.

Diwani wa Kata ya Sisimba (Chadema), Jofrey Kajigili, alisema amepata taarifa za CCM kuandaa mkakati wa kuwanunua madiwani wa Chadema ili wajiuzulu na kujiunga na CCM.

Kajigili ambaye pia ni Katibu wa Madiwani wa Chadema, alisema CCM katika kufanikisha mkakati huo, wameunda kikundi maalum cha kushawishi madiwani wa Chadema ambapo wanachokifanya ni kumtumia mtu ambaye yupo karibu na diwani husika ambapo akikubali kujiuzulu wanampatia kiasi cha fedha wanachokubaliana.

Diwani wa Kata ya Sinde (Chadema), Fanuel Kyanula, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Madiwani wa Chadema, alisema taarifa za kuwepo mkakati wa kuwanunua madiwani wa Chadema amezipata na kwamba bado chama kinaendelea kufanya utafiti wa jambo hilo na kubaini ni madiwani gani ambao wanalengwa.
 
Amewithdrawal baada ya wananchi wa Mbeya kumtishia kuwa watamchinja,wameshika mtego wa Chama Cha Magamba kupitia Mwandosya alivyomnunua na wanajua na pesa zote alizompa mahala alipopewa na maongezi yote yalivyokwenda.Walitaka kumpa kadi kwenye mkutano wake wa leo wananchi wamesema ama zake ama zao ,kama mujuavyo Giant Ndosya amepewa kazi maalumu ya kusambaratisha upinzani Mbeya
toka jana wamekuwa wakisafirrisha wananchi toka Kyela,Mbozi,Ileje,Mbarali.Rungwe,Chunya na wanambeya wamesema kama watahubiri sera zao wasithubutu kukashifu Chadema na viongozi wao ,wakifanya hivyo Mbeya itakuwa majivu leo
Meya Kapunga tayari kapeleka barua Tamisemi eti Diwani kajiuzulu nadhani Chadema Mkoa au Wilaya watalitolea ufafanuzi ,wajinga kweli chama cha Magamba wanarudisha demokrasia nyuma wanataka tutwangane risasi ndio watafurahi
Mkuu tusaidie ni diwani wa Kata ipi huyo aliyejiuzulu hapa Mbeya?
 
Bibie mbona unaandika kwa hasira!
Kwani Cadema kinaendeshwa na malaika walioteremshwa toka mbiguni?
Makosa ya CDM mtayalipia kwa viongozi wenu kuikimbia kambi yenu pamoja na wannchi.
CDM wamewaahidi viongozi na wananchi mambo lukuki, mambo ambayo hayaonekani.Na hayo ndio matokeo yake.
 
wana mawazo finyu hawaangalii siku zijazo au uwakili wao kwa wananchi ukoje
 
Huyo ana MOYO wa MAGAMBA! mwache aende tu...! Wapo vijana wenye nguvu na MOyo na Chama chetu KITUKUFU.
Kwenye mapinduzi yoyote mamluki huwa hawakosi na wasaliti ndio hufanikisha vita vya maadui hivyo ni vyema kujipanga upya kwa aina ya wapiganaji tulionao hasa katika hizi zama za awali tunaobado wengine kwani kama mkereketwa sitegemei mtu kama shibuda atatuvusha salama.
 
Bibie mbona unaandika kwa hasira!
Kwani Cadema kinaendeshwa na malaika walioteremshwa toka mbiguni?
Makosa ya CDM mtayalipia kwa viongozi wenu kuikimbia kambi yenu pamoja na wannchi.
CDM wamewaahidi viongozi na wananchi mambo lukuki, mambo ambayo hayaonekani.Na hayo ndio matokeo yake.
Hapana namfahamu Mwakalobo na wazazi wake hapo Nzovwe,na Nzovwe usipime kwa Chadema ndio ukweli wenyewe hatapita huyo
 
Hapana namfahamu Mwakalobo na wazazi wake hapo Nzovwe,na Nzovwe usipime kwa Chadema ndio ukweli wenyewe hatapita huyo

jamani wenzetu kuweni makini sana na watu mnaowaweka mstari wa mbele kwenye mapambano
hakikisheni mnachukua watu wenye misimamo inayoeleweka sana!
 
Na wale wa Arusha mnaosema wamewasaliti inakuwaje mpaka leo mnawaacha kwenye chama wasaliti? si wafukuzeni?
 
Watanzania tunafahamu ukweli na kila kinachoendelea hawataweza kutufanya bendera fuata upepo hatufuati mtu tumekataa chama hatutakipa kura hata siku moja na akienda huko atashangaa na magamba yake, Tanzania bila CCM inawezekana.
 
Mimi nipo mby diwani aliyejiuzuru anaitwa mwakalobo kutoka kata ya nzomve, ameandika barua ya kujiuzulu kwa meya ,lakini cdm wamemkataza kufanya hivyo na wamemtaka afute kauli hiyo. Kwasasa amefichwa mbozi.

Nadhani pesa inatembea baada ya ccm kumeguka
 
ni wa kata gani mbona wanaharakati wa bavicha wamesema hawana taarifa. 2pe jina na kata
 
Back
Top Bottom