Diwani wa CHADEMA aliyefukuzwa Arusha ajuta

waombe wana wa Arusha msamsamaha.binafsi nilikuamini sana lakini ulichokifanya sikuamini pia sikufurahia hata kidogo. nivizuri ukajuta then wengine wajifunze kutokana na usaliti wako
<br />
<br />
WAWAOMBE WANANCHI MSAMAHA NAIMANI CHADEMA ITAWAPOKEA, ILA YULE ESTOMIH NDIO ANAWARUBUNI WENZIE!
 
Kwa umri wake hawezi sema alifuata mkumbo......huyu ya faa abaki hukohuko na azomewe kila kona.......ili liwefundisho na kwa watuwengine wa aina yake...
 
walidhani wangekula pesa za ccm bila bughudha, ila wamegundua gharama yake ni kubwa kuliko walivyodhani sasa wanajifanya kujirudi, hao ni wasaliti tu, kama si wana arusha kuwatenga wala wasingejirudi ila wameona inakula kwao. cdm tunasonga mbele, salam zake magal shibuda siku zako zinahesabika.
 
Aende zake mtu mzima namna hiyo alifuata mkumbo kwa kudanganywa hvi haoni aibu kutoa kauli hiyo...!!! Kawa mtoto wa darasa la 7..?????? Walishapewa nafasi ya kujitetea walishindwa analalamika nini sana ***** huyo...akafie mbali huko CDM haitaki wanafiki....Tatizo magamba waliwatumia kwa manufaa yao wakawaacha kama Toilet Paper mabwege hao.
 
DUh! CDM Arusha nouma sana! Yaani mtu akiwasaliti wanamwandama mpaka wanamtemea makohozi usoni! Lol! Naweza kujitundika kwa aibu!
 
Tatizo Ccm ndo wamewadanganya wametumika Kama Mpira wakiume(condom) naamini na Chadema wapo makini nahao madiwani walio fukuzwa watashindwa tu
 
Mtoto akijirudi na kumshika mzazi miguu mbele ya hadhara kama hivi na kutubu makosa yake, kwa hali ya kawaida, sote tunajua kitu gani kinatakiwa kifute.

Lengo la mzazi kuamua kumuadhibu mtoto wake anapotenda kosa fulani si sana na kusema ANAAMUA KABISA MTOTO HUYO AFE bali chini ya sakafu wa moyo wa mzazi huyo ni kuona mtoto akitambua kosa lake na kubadili mwenendo wake mzima.

Nakubaliana na wengi wetu wa CDM kwamba katika kundi la madiwani wa CDM Arusha wapo watoto wa George Mkuchika ambao heshima yao ni kwa huyo baba yao na wala si Wapiga kura wa A-Town wala CHADEMA, lakini hilo tu halizuii chama kufwatilia waadhibiwa hawa kimya kimya ili busara zaidi iweze kutoa mwelekeo mpya panapo haja.
 
Ni kukosa nidhamu ya kisiasa kwa Chama kilichokufanya uwe hapo ulipo,la msingi awaombe radhi wana CDM wote then aachane na siasa na aelezee kilichomfanya yeye na wenzie kua na kiburi juu ya maagizo yaliyotoka uongozi wa juu.
 
huyu diwani rasta lema alimtangaza jukwaani ni shemeji yake dada yake lema ndiye anamweka town(bushoke) inawezekana katishiwa kufukuzwa home ikabidi abadili msimamo .
 
Wakuu,
Nimeipitia hii thread mpaka hapa ninapo post maoni yangu. Naona kuna mambo tuweyaacha. Maoni yangu ni kwamba,
Kwanza arudishe 25mil walizopewa na magamba ili kukigeuka chama kwa lengo la kuficha ukweli wa hoja ya Mh. Lema bungeni kwamba PM alilidanganya bunge.
Pili, akajitoe kwenye kesi waliofungua mahakamani kupinga maamuzi ya chama yaliyowatimua uanachama.
Tatu, awaombe msamaha wananchi wa kata ya Kaloleni na Arusha kwa kuwageuka na kutanguliza maslahi yake mbele na kutelekeza yale waliyomtuma.
Nne, awaombe radhi wanachadema kwa kukiri kosa na kujutia kosa lake.
Nadhan baada ya hapo tutatoa maamuzi!
 
Huyu jamaa alikua ni mtu wangu wa karibu baada ya kazi huwa tunakutana pale maeneo ya House of Wine baa tunapata moja moto moja baridi pamoja na bwana Malla ambaye naye ameenguliwa udiwani wa Kimandolu tunabadilishana mawazo na kudiscuss maendeleo ya chama, hata namba zao za simu nimezidelete, halafu ukimuangalia Rasta sasa anachoma fegi kwamfululizo kutokana na msongo wa mawazo! wameniangusha sana.
 
Hizo ni porojo tu za waandishi kutaka kuuza magazeti yao huko TZ. Lakini ni lazima ijulikane kesi ipo mahakamani na si vizuri kuijadili.
 
anatafuta huruma ili akipita mitaani asizomewe,aombe msamaha na kutaja yote yaliyofanyika na ni nani aliyeleta hizo hela zilizomfznyz zkzfuztz mkumbo na walipokea sh ngapi?na azirudishe.
 
Sioni kama amejuta maana kujuta sio kusema tuu kwenye vyombo vya habari
Waaandikie wana kaloleni na chama chako uwaambie wazi kuwa ulifanya kosa na umejututia kosa lako na unaomba msamaha kwa yaliyotokea na uwaandikie hao wanaokuita kweney kikao kuwa unafuata msimamo wa chama kuwa wewe si mwanachama wa chama hicho baada ya kuondolewa hadhi yako na si diwani maana huna chama
Then waombe radhi wananchi wa kaloleni waliokuamini na kukupa udiwani kwa kuwasaliti
bado ni kijana mdogo na una nafasi kubwa sana ya kushiriki kwenye siasa na kupambana kuwakomboa wananchi popote pale utakapoamua kufanya hivyo
 
Aende zake mtu mzima namna hiyo alifuata mkumbo kwa kudanganywa hvi haoni aibu kutoa kauli hiyo...!!! Kawa mtoto wa darasa la 7..?????? Walishapewa nafasi ya kujitetea walishindwa analalamika nini sana ***** huyo...akafie mbali huko CDM haitaki wanafiki....Tatizo magamba waliwatumia kwa manufaa yao wakawaacha kama Toilet Paper mabwege hao.
na angekuwa wa kike sasa hivi si tungekuwa tunalea mjukuu ambae hana baba?hana maana tumwandame mpaka ajinyonge kama yuda.
 
Back
Top Bottom