Diwani wa CCM KATA YA KISESE-MWANZA akashfu wananchi wake!!

DIWANI WA CCM KATA KISESA MKOANI MWANZA MH. CLEMENT GREGORY MABINA JANA ALIWATOLEA KAULI YA KUWADHIHAKI NA KUWAUDHI WANANCHI WA KITONGOJI CHA KANYAMA KWAMBA, KATA HIYO WAKIMPA SEHEMU YA ENEO(kiwanja/shamba) ATAWALETEA UMEME NA MAJI. WANANCHI HAO WAMEPATWA NA KIGUGUMIZI NA KUSHINDWA KUELEWA KWAMBA WALIMCHAGUA DIWANI HUYU KWA AJILI YA KUWALETEA NI ............?KAMA DIWANI WA KATA TU JE,MADIWANI 3 WAKIFANYA HIVYO,WABUNGE NAVIONGOZI WNGINE WENYE DHAMANA MKOA HUU UTAELEKEA WAPI? WANANCHI WAJIFUNZE NINI KUTOKA KWNU,HABARI ZAIDI ZINASEMA DIWANI HUYU ANAMILIKI ENEO/SHAMBA KUBWA SANA.source WANANCHI KATA KISESA kitongoji cha KANYAMA

Duh! Kumbe kumbukumbu zilishawekwa siku nyingi na juzi ilikuwa just kutimiza "unabii" wa mambo yaliyotabiriwa zamani. Kumbe wenye hekima zao walishaona tatizo tangu 2012 au pengine kabla pengine hata aliyeanzisha huu uzi alishasahau unabii huu!

Laiti Mabina angesikiliza na kuuelewa "unabii" huu yasingemkuta yaliyomkuta! Lakini ndio hivyo tena, sikio la kufa halisikii dawa ikikolezewa na "jeuri ya chama" njia ya kaburini inakuwa nyeupe.
 
OTIS
Usjali,uzi kama huu wenzako wataupenda ila wenye akili zao watakudharau

ww gamba gumu la kobe umeona sasa?

kawasimulie na wenzio ugambani...
 
DIWANI WA CCM KATA KISESA MKOANI MWANZA MH. CLEMENT GREGORY MABINA JANA ALIWATOLEA KAULI YA KUWADHIHAKI NA KUWAUDHI WANANCHI WA KITONGOJI CHA KANYAMA KWAMBA, KATA HIYO WAKIMPA SEHEMU YA ENEO(kiwanja/shamba) ATAWALETEA UMEME NA MAJI. WANANCHI HAO WAMEPATWA NA KIGUGUMIZI NA KUSHINDWA KUELEWA KWAMBA WALIMCHAGUA DIWANI HUYU KWA AJILI YA KUWALETEA NI ............?KAMA DIWANI WA KATA TU JE,MADIWANI 3 WAKIFANYA HIVYO,WABUNGE NAVIONGOZI WNGINE WENYE DHAMANA MKOA HUU UTAELEKEA WAPI? WANANCHI WAJIFUNZE NINI KUTOKA KWNU,HABARI ZAIDI ZINASEMA DIWANI HUYU ANAMILIKI ENEO/SHAMBA KUBWA SANA.source WANANCHI KATA KISESA kitongoji cha KANYAMA

R.I.P Mabina, Dhuruma mbaya sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Too sad, though he deserves!
hili ni fundisho kwa miungu watu wote wa liCCM!
 
Back
Top Bottom