Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje?

Bado siamini kwamba hizi ni habari sahihi. Lakini hata likitokea sitashangaa kwa sababu nasikia hayuko comfortable na baadhi ya madiwani wa ccm hasa wale wanoonekana kuwa karibu sana na meya. Madiwani hao hujiona bora kuliko wengine hasa wale waliokuwa madiwani kwa zaidi ya miaka kumi na kuwaona madiwani wapya kama threat kwao. Madiwani kama kina Lota Laizer, Olesekeian na Karim Mushi na hata huyo Kivuyo wa TLP ndiyo walieifikisha Arusha hapa tulipo na Meya huwakumbatia sana hawa, kwa kifupi kundi hili linajiona supreme kuliko madiwani wengine kitu ambacho kinawakera sana madiwani wengine. Hili nililisikia kutoka kwa Marehemu Bashir Msangi aliekuwa diwani wa kata ya daraja II siku chache kabla hajafariki.
 
Raia wa kenya ni wengi Arusha na mmoja wao alikufa kwenye machafuko ya kisiasa pale Arusha nasikia wapo wanaotumia majina ya wenyeji wa Tanzania ili wakubalike. Kenya iliwahi kuingia kwenye machafuko wengine wakakimbilia Arusha kuanza maisha. uhamiaji mpo hapo tunaweza kudhani Arusha ina wazalendo kumbe ni wakenya wanataka kuitwaa Arusha.
 
this is just the begining.... Many will join the patriot viva cdm
 
ukiwa na jinsi za magamba utaponaje ukirudi chadema bila tiba. wakiwa ccm ni magamba lakini wakihamia chadema si magamba. Hadithi za abunwasi ni tamu sana

Kwani we hujawahi kumwona chambazi, anayeamua kuacha ujambazi na kuungana na raia waliowema kujenga na kuilinda jamii husika. Kama hilo halitoshi ni wangapi waliokuwa makafiri na sasa ni washika dini wazuri kuliko hata wale waliowatangulia katika dini. Hoja yako haina mashiko lete nyingine. Tafakari!!!
 
mkuu vp, mbona hamuendi peripheral areas kufungua matawi? mfano kata ya Terat, chadema bado sana.

Mkubwa! Hv ni wewe Lewanga ninayekujua pale Terat? Ama ni Lewanga ile Ukoo wenye roho mbaya kama wauza sumu ninaowajua? Ama ni Ngoiva Lewanga yupi?
 
Heshima kwenu wakuu,

Duh mambo mengine inabidi mtu uchekee mwenyewe kama kichaa tangu lini Mawazo kawa mpiganaji ?.Mawazo ni dalali wa siasa hana msimamo hata kidogo,hajulikani anapigania nini ?,Ni mwanasiasa mbabaishaji kupita maelezo,Ni rahisi kutumiwa kwakuwa bei yake inajulikana.

Kati ya mambo ya kipumbavu kuwahi kufanywa na CDM Arusha pengine hili laweza kushika nafasi ya kwanza.

Huyoooo KibweNgongo mapovu hayooo!

Njoo Mambo club hapa moro town nikupoze kwa laga, kitimoto, na watoto wa kiluguru.
 
Mwalimu Mawazo alphonc, Ustaadh Alphonce Mawazo, Mwana Hip-Hop Mawazo,Mchungaji Mawazo,Gospel singer Mawazo, Mwanasiasa Mawazo!!!! Je wataka kumjua zaidi!???? Ana dini mbili,vyama zaidi ya viwili,....naaaaa....!
 
Pia ni mshabiki wa Simba damu na Mwanachama wa kudumu wa Yanga (this is a joke)
 
Back
Top Bottom