Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje?

Jamani ni kweli ama uwongo kwa huyu diwani wa kata ya sombetini (Arusha mjini) ndugu Alfonce Mawazo kahamia chadema.!? Mko wapi wadau wa arusha? Tupeni news updates toka huko, wapi crashwire, wapi Nanyaro, wapi Liverpool fc?
 
wapi Paka Jimmy?
 
Huyu Diwani juzi tar 5/01/2012 ndiyo alijisalimisha na siyo yeye peke yake kwani aliongozana pia na nafikiri aliyekuwa M/kiti wa CUF hapa jijini na wengine wengi tu ambao nashindwa hata kuwataja,Na kiliwafurahisha wanaCDM waliokuwa uwanjani hiyo juzi ni huyu mawazo kurudi maana MB Lema alishamwambiaga enzi ya kampeni ya kwamba wewe ni kijana mpiganaji lakini bado unang'ang'ana na mafisadi wakati unaona hali ilivyo kwa Watanzania.

Sasa kwa wale wana CDM wanaomjua kule mtaani kwake walimpokea kwa shangwe kweli kweli maana anakubalika na kaambatana na wadau wake na wote wamepewa kati na Kijana mdogo kamanda wa watoto kama kiapo ya laana kama watawasaliti na hiyo laana ya kukaribishwa na mtoto iwapate huko huko pamoja na wale waliotoka CUF na huku mtaani kwetu kuna wanachichiem wengine jana wameenda pale ofisi ya CDM kuchukua kadi na kuzirudisha ya mafisadi baada ya mhenyo wa miaka 50 ya uhuru ya watu kuteseka bila ya kuwepo na maji karibu miezi sasa maji ni tabu balaa hapa Arusha.

Kwa kweli wote waliorudisha kadi ya mafisadi wamepokelewa kwa vififijo na nderemo hapo uwanjani hasa wakiongozwa na hawa viongozi wawili wa vyama pinzani CUF & ccm!
 
Back
Top Bottom