Diwani wa ccm ajiuzuru huko Arumeru mashariki.

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Hizi taarifa nimezisoma punde kutoka kwenye blog moja inasema diwani wa kata ya Nkuarua kwa tiketi ya ccm ndg. Emmanue Wangaeli amejiuzuru, na kunatetesi kwamba amejiunga na wapambanaji cdm.
Mlioko huko tupeni full data.
 
Hiyo blog haina jina? Do you think is that blog a reliable source?
 
Ni kweli na kesho anapanda jukwaa,,kaudhiwa na mkapa,,kwa kisa cha kumuua jkn
 
Hiki ni kielelezo kwamba CCM ni chama Mfu! Wanachama wake wanakikimbia ili kujikoa.
 
Huyo uvimilivu umemshinda pia wapo wengi na niviongozi wakubwa ccm na serikalini pia ila wanakosa sababu ya kuwafanya waje cdm.
 
Ni kweli na kesho anapanda jukwaa,,kaudhiwa na mkapa,,kwa kisa cha kumuua jkn

Na bado, ccm wasubiri makubwa yaja. Wasidhani karne hii Watanzania ni sawa na wale miaka hiyo. Silaha ya magamba ni kuwadanganya wananchi kwa vitisheti, na vijikanga. sasa safari hii mmeula wa chuya!
 
Kama kweli walimtenda Nyerere hicho kinachosemekana kuwa wamekitenda ili wajinufaishe nafsi zao........kamwe hawawezi kuwa na asubuhi, watatafutana, wasionane kamwe....! Machozi na maumivu ya watanzania na udhaifu wao yanawalilia...mwisho wa CCM sijui utakuwaje..
 
Yes Peoples! wazee wetu meru wanawaheshimu sana vijana, tena vijana wanaoeleweka kama Jo, imekula kwa ccm.
 
inasikitisha kuona magreat thinkers wanajadili hisia na tetesi ndani ya ukurasa adhimu ambao kadiri siku zinavyokwenda unapoteza mvuto kutokana na watu kujadili kishabiki mambo ambayo hayana ushahidi wa kiisimu wala kisayansi ni bora kujadili vitu ambavyo ni vya uhakika na kama huyo diwani amejiuzulu kwa sababu ya malumbano ya kisiasa kt ya ben na vicent basi huyo siasa haijui ila anakurupuka.
 
Pia mwenyekiti wa kijiji na balozi pia jana walirudisha kadi
Hizi taarifa nimezisoma punde kutoka kwenye blog moja inasema diwani wa kata ya Nkuarua kwa tiketi ya ccm ndg. Emmanue Wangaeli amejiuzuru, na kunatetesi kwamba amejiunga na wapambanaji cdm.
Mlioko huko tupeni full data.
 
inasikitisha kuona magreat thinkers wanajadili hisia na tetesi ndani ya ukurasa adhimu ambao kadiri siku zinavyokwenda unapoteza mvuto kutokana na watu kujadili kishabiki mambo ambayo hayana ushahidi wa kiisimu wala kisayansi ni bora kujadili vitu ambavyo ni vya uhakika na kama huyo diwani amejiuzulu kwa sababu ya malumbano ya kisiasa kt ya ben na vicent basi huyo siasa haijui ila anakurupuka.

umenena vyema
 
R. I. P. Mwalimu julius kambarage nyerere!!!
Ccm kwanini mlimuua mzee wetu!!!??
 
'cdm wote, tunataka amaniiii, pipoz power*2 mmm/mm.M. Pipoz power!' hii nyimbo huwa ni ya moto!
 
Kama kweli walimtenda Nyerere hicho kinachosemekana kuwa wamekitenda ili wajinufaishe nafsi zao........kamwe hawawezi kuwa na asubuhi, watatafutana, wasionane kamwe....! Machozi na maumivu ya watanzania na udhaifu wao yanawalilia...mwisho wa CCM sijui utakuwaje..

ccm wana laana nyingi hao, kuua kwao ni jambo la kawaida katika kupigania ufisadi.
 
Back
Top Bottom