Diwani wa CCM afariki dunia

Haa jamani wana-Ulanga maeneo ya Nawenge, Uponela, Kwilo n.k poleni sana. Naumia zaidi kuona Mhe. Diwani anakufa bila kushududia moto wa M4C. R.I.P Mhe.Diwani nasi twaja
 
2rudi kwa mungu jamani,umauti upo krb,2oe na kuolewa ili 2fanye ibada ze2 kwa ukamilifu hali tete jamani.
 
Muwe munasoma vizuri kabla ya ku-comment....thread inajieleza "Diwani wa ccm ndugu George J Mlimani wa mahenge ulanga amefariki dunia leo usiku jijini Dsm mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini."
Ndugu msamehe tu kwani hajui alitendalo! Vipi wewe mzima A?
 
Safi sana kwa kufa, mtuachie nchi yetu nyie wanafiki wa ccm...
 
Wabunge wa ccm wakianza kufa pia kama sumari, itakua jambo jema...
 
Sad newz, was he very ill? au ni sudden death? Poleni wana familia na wana ulanga in general.

Mh. Diwani alianza kuumwa mara tu baada ya kushinda uchaguzi. Hajawi kukalia kiti chake cha Udiwani. Ameugua muda mrefu lakini hakuna Daktari wa Hosp hata mmoja aliyepata kujua ugonjwa wake. Msiba upo hapa Tegeta kwa sasa.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema, Ameni
 
Back
Top Bottom