Diwani CHADEMA Kijitonyama ingilia kati hili

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Wakazi wa Sinza Mori wametelekezwa na viongozi wa Serikali kwa kuonekana si sehemu ya Tanzania. Sitaki kuamini kuwa wakazi hawa wanapata adhabu ya kuwa na huduma mbaya za jamii kwa kuchagua diwani wa CHADEMA. Barabara ya Sinza Mori iendayo Johannesburg Hotel na Wanyama hotel toka Big Bon ina mahandaki, kwa ufupi haipitiki kwa magari, ni bodaboda tu ndio zinazosafirisha abiria kwa sasa. Eneo hilo halina maji toka uchaguzi wa 2010 ulipokwisha na mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kuibuka mshindi.

Hali hii inaonekana kuwa ni hujuma ili Diwani huyu achukiwe na wapiga kura wake.

Diwani tafadhali usivumilie njama hizi.
 
NA UWEZEKANO MKUBWA CCM IKAWA CHANZO CHA KUCHOMWA MAKANISA ILI KUWAGAWA WATANZANIA,WALIANZA KWA KUWAPAKA MATOPE CUF BAADA YA KUUNGANA NAO WAKAHAMIA CHADEMA ETI UDINI WAKASHINDWA SASA UKASKAZINI NINA WASIWASI KUNA MKONO WA CCM:israel:
 
Hata diwani akishindwa kutekeleza majukumu yake ni CCM kah!:happy:

Hebu acheni hizo mwambieni diwani wenu afanye kazi. Mbona wanazo pesa za kuitisha mikutano pale jangwani na Arusha!
 
Huyu diwani wa Kijitonyama, Bw. Ulole Ulole ni fisadi wa mapenzi, ana kashfa ya kufumaniwa guest house na mke wa mpiga kura wake. Pia ni mwenyekiti wa mtaa, Kijitonyama Kwa Ali Maua, ofisi anatembea nayo mfukoni; wananchi wanajuta kumpa vyeo mtu asiye na busara
 
Back
Top Bottom