Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

Hata zile idara za serikali ambazo mnadhani wanalinda usalama wenu nao ni wezi wakubwa wa magari! Kuna jamaa wa usalama wa Taifa anatokea Tanga kwa mkuu kabisa wa usalama wa taifa(family friend) huyo mtumishi wa Usalama wa Taifa alikuwa ni Mwizi wa magari polisi wamefukuzana naye na akakimbilia kwenye geti la usalama cha ajabu hana hatia. na kwa kuwa damage ilikuwa kubwa huyu mkulu akaamua kumuachisha kazi bila kupelekwa mahakamani. hii habari ni kutoka ndani...hata naweza kukoti alivyosema huyo mkulu "baba yake anasali sala tano kwa hiyo hawezi kuiba magari" spy analysis , but all in all....CCM ndio imetufikisha hapa.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom