Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

kumbe yule diwani wa ccm kigamboni anayepingana na mbunge wake ni kwa sababu ana kesi ya wizi wa magari huko morogoro hivyo serikari ya ccm imemtumia kuzima kesi yake au walimwambia kesi itafufuliwa upya ndio maana wizara ilimsafirisha na wenzake kuzima hija ya mbunge wao sasa maendeleo yatoke wapi kuwa na mbunge jambazi na mwizi wa magari naomba mnijuze zaidi

Anaitwa Doto, ni mmoja wa diwani wa kata moja wapo kigamboni kupitia CCM, ni jambazi maarufu kigamboni na ni kijana wa alex massawe, aliwahi kukaa jela miaka miwili kwa wizi wa gari lililokuwa la mfanyakazi wa UN ila kesi ikamalizwa juu kwa juu.
Hivi majuzi alikamatwa morogoro na wenzake wakijaribu kufanya ujambazi na upelelezi unaendelea. Nitaleta habari yake kamili punde.
 
Kigamboni nzima wanajua kuwa ni jambazi kama una rafiki anaishi huko uliza hilo halina utetezi.

Wengi wanasema ni njia za panya zimemfikisha hapo alipo (udiwani)

Ni darasa la saba ana fedha nyingi zinazodaiwa ni halamu.
 
Wakati wa kampeni ilisemwa kwamba mtajuta 'kumchagua' kama kweli alichaguliwa kihalali, sasa wakati wa majuto umefika angalia kauli zake kuhusu hatima ya mradi huo.

mbunge na wakazi wa kigamboni hawajakataa mradi. Tofauti zao ziko kwenye mchakato kuelekea mradi huo ili mradi usije kuwaacha wananchi masikini kupata tabu basi.

Mbunge akiongea na wananchi hajawahi kutamka kukataa au kwenda kinyume na sera ya chama bali anafuatilia kwa karibu kila hatua inayofanywa na wizara ya Ardhi na kuhoji au kuwasaidia wananchi kuhoji kile ambacho mbunge kashindwa kuwajibu wapiga kura wake.
 
Kimsingi madiwani wa Vijibweni (CCM), Kibada (CUF), Kigamboni (CCM), na Tungi (CCM) wanaotuhumiwa kwenda dodoma na waziri na baadhi wa wenyeviti wa serikali za mitaa hawako pamoja kukidhi kiu ya wakazi wa kigamboni.

Diwani wa kata ya Somangila hakwenda nao dodoma ingawa kata yake iko kwenye mradi, kulikoni sijui wapo wanaosema yuko upande wa mbunge na wananchi wa kigamboni.

kwa maelezo ya wananchi wanasema Wizara ya Ardhi ilikodisha Toyota Coster kuwapeleka Dodoma, kuwalipia malazi, posho na kuwarudisha ndicho kilichofanya ndungulle akasema ni rushwa kwani mradi una pande mbili za mazungumzo.

Mbunge na madiwani kwa niaba ya wananchi na Wizara ya Ardhi kwa niaba ya serikali. Hivyo madiwani kuwa upande wa Wizara kumeleta mashaka kwa upande wa watetezi wa wananchi.
 
Kigamboni nzima wanajua kuwa ni jambazi kama una rafiki anaishi huko uliza hilo halina utetezi.

Wengi wanasema ni njia za panya zimemfikisha hapo alipo (udiwani)

Ni darasa la saba ana fedha nyingi zinazodaiwa ni halamu.

hayo ni kweli kabisa hata mtoto mdogo ukiuliza kigamboni anajua na wananchi wamemchagua hapo ndo ujua jinsi gani wananchi tulivyo wapumbavu, sasa mnataka maendeleo ya wapi wakati viongozi mnaotuchagulia majambazi, mnalalamika maisha magumu wakati wa uchaguzi mnachagua majambazi, na wavuta bangi kama Lusinde....sijui mnamlalamikia nani kwa mwenendo wa nchi kuwa hapa ilipo. Tena huyo bwana anaogopeka hata kwa watu wake unaambiwa ukiwa na gari zuri akalitamani, na akilitaka anakwambia nakuja kulichukua na njia ya kulichukua sio za kawaida ina maana unavamiwa usiku. JUST IMAGINE HII NCHI KUANZIA WANACHI WENYEWE MPAKA VIONGOZI NI MAZEZETA TU, NADHANI KUNA LAANA IMEINGIA KATIKA NCHI HII SIO BURE ...UKIANZA KUTAFAKARI KWA WENYE AKILI HUWEZI KUPINGANA NAMI KUHUSU HILI
 
kumbe yule diwani wa ccm kigamboni anayepingana na mbunge wake ni kwa sababu ana kesi ya wizi wa magari huko morogoro hivyo serikari ya ccm imemtumia kuzima kesi yake au walimwambia kesi itafufuliwa upya ndio maana wizara ilimsafirisha na wenzake kuzima hija ya mbunge wao sasa maendeleo yatoke wapi kuwa na mbunge jambazi na mwizi wa magari naomba mnijuze zaidi

Kama Godbless Lema..
 
Acha kelele wewe hayo magari yana thamani kuliko vijisenti vya chenge?yanafikia hata kwa mbali shilingi bilioni 163 zilizochotwa epa?acha unafiki.
 
Ni kweli kabisa Diwani wa Kigamboni A.K.A. DOTTO ni jambazi maarufu na ni mshika wa Alex Massawe lakini kwa vile wa maslahi wezi wenzao CCM wanalindwa ushahidi kesi za wizi za nyuma na wizi wa karibuni Morogoro. WanaJF tufanye kazi ya ziada kuwaelimisha wananchi wawafahamu wezi hawa kwani ndio wanaokwamisha maendeleo ya nchi hii.
 
ccm ni chaka la kujifichia wahalifu, angalia matawi ya vijiweni ya ccm ni ya vibaka na wauza unga na wavuta bangi, Sumaye aliwahi kusema ukitaka mambo yako yakwendee vizuri nenda ccm,
 
CCM ni kichaka cha wahalifu kwa sasa hivi wote walio waharifu katika nchi hii ujifanya ni CCM damu na kutoa misaada mingi katika chama ili kuficha maovu yao.
 
Ni kweli kabisa Diwani wa Kigamboni A.K.A. DOTTO ni jambazi maarufu na ni mshikaji wa
Alex Massawe lakini kwa vile wa maslahi wezi wenzao CCM wanalindwa ushahidi kesi za wizi za nyuma na wizi wa karibuni Morogoro. WanaJF tufanye kazi ya ziada kuwaelimisha wananchi wawafahamu wezi hawa kwani ndio wanaokwamisha maendeleo ya nchi hii.
Mh! hapo kwenye red chunga sana mtu huyo anajulikana tangu enzi za Mahita lakini ni mwanachama mwaminifu na mtiifu wa CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom