Diwani CCM afariki Dunia-Dodoma

taarifa tulizo nazo madiwani 300 wa ccm watakufa kabla ya 2o15' chadema wakiweza kushinda kata zote hizo itakuwa ni nafasi nzuri ya kujenga chama kuanzia kwenye shina'2o15 lazima wachukue nchi

Ni taarifa kutoka kwa nani tena, au yule mrithi wa shekh YAHAYA mzee.
Kwani hamuwezi kukiimarisha chama bila watu kufa... Magwanda na hofu
ya CCM!
 
Vifo vimezidi kuwamaliza madiwani wa ccm Dodoma mjini,baada ya kufariki kwa madiwani kata ya kikuyu kusini na changombe sasa amefuatia diwani wa kata ya Msalato.naomba kutoa taarifa.source nipo Dodoma.
Hayo ni malipo ya uchakachuaji unajua hata Mungu hakupendezwa.
 
hao ni wacha MUNGU maana wanaogopa kuona CCM ikimeguka pwaaaaaaaaaa, poleni wafiwa njia ni moja tu kulamba Aridhi
 
taarifa tulizo nazo madiwani 300 wa ccm watakufa kabla ya 2o15' chadema wakiweza kushinda kata zote hizo itakuwa ni nafasi nzuri ya kujenga chama kuanzia kwenye shina'2o15 lazima wachukue nchi

Inawezekana wewe uliyepost hii issue ukatangulia kufa na usiweze kufahamu kama hao madiwani 300 wa CCM nao watakufa before 2015. Acheni siasa na posts za kitoto.
 
Rest In Peace Mh. Diwani, ukifika kule Msalimie sana Kawawa, Msangi, Ditopile na Karume, Mwambie Nyerere Marehemu wote watarajiwa wanakupa Hi!
 
Vifo vimezidi kuwamaliza madiwani wa ccm Dodoma mjini,baada ya kufariki kwa madiwani kata ya kikuyu kusini na changombe sasa amefuatia diwani wa kata ya Msalato.naomba kutoa taarifa.source nipo Dodoma.
Mikikimikiki ya chadema hiyo inawapa BP!
 
hadi 2015 Nusu ya kata zinazo ongozwa na ccm zitakua chadema. asante kwa taarifa. vipi wameshazika? Mia
 
Kama ni wamagamba wacha wafe maana mungu hapendi muwatendeayo watz,tusimpangie mungu kwa kumlaza huyo aliyefariki ila matendo yake ndo yatakayo muokoa
 
Back
Top Bottom