Diwani aliefukuzwa CHADEMA Arusha ahamia CUF,ni Bayo.

Mkuu naona mmechanganyikiwa kabisa, vipi Bayo nae ni dini gani? Nasikia wiki ijayo TLP wanakuja Arusha.

Ooh MIMI SINA CHAMA!, (tena kwa povu jingi mdomoni) penzi ni kikohozi! Wakija ccm A nao utasikia.TUTAONA MAPENZI HADHARANI. chezea kipenda roho WEWE? teh teh teh. Heshima kwa kuonesha rangi hii kuficha cio ishu af pia sio dhambi.
 
Chadema naona mnali lia hovyo kama watoto yatima nyie kila siku mnasema Arusha wote ni Chadema kumbe uongo.

Bora watoto yatima coz ndiyo Serikali ya CCM imefanya wawe hivyo!kuliko CCM ambao wamechanganyikiwa kama kuku aliyetoroka kuchinjwa
 
Hongera Bayo kwa kutoka kifungoni, wananchi wa Arusha wamekuchaguwa diwani wao halafu Dr Slaa na Mbowe wanakufukuza chama.

Mwizi amerudi kwa wezi wenzake, ila ametumia mlango wa nyumba ndogo kujihalalisha
 
CUF Bwana kweli kuolewa katika nchi zetu za kiafrika ni tabu kweli kweli, unafanya kila jambo usimuuzi mmmeo, hivi CUF wameshindwa kwenda Pemba kutangaza chama chao hadi wake Arusha tena kwa hila, hii ndoa inawazika rasmi kwa ubashiri wangu baada ya mwaka 2005 hapa bara ukiondoa CCm na CDMA chama cha tatu chenye nguvu kitakuwa ADC .
destruction imetokea kwenye ubongo wako, bigwa wa unywaji wa pombe na kiti moto. utabiri feki mno
 
Hizi ndizo siasa uchwara! Wangekuwa na nia kweli wangeenda CCM tu kwani haina tofauti na CUF walikoenda.

hizo ni fikra zako , cuf itabaki kuwa cuf , mumesahau ndoa yetu na chadema? au sababu talaka? ama talaka ina mambo? presha, presha, presha............. 332 HAO wamekuja cuf........ udini si mume uanza nyiye.........tunamsubiri zito , ajiunge na mchaka chaka, chadema itabaki milimani chezea cuf nyiye V4C.........Nyoni pemba kama muna ubavu
 
Kwa kumbukumbu zangu huyu mama aliahidiwa kuendelea kupata msaada kutoka chadema, lakini katika mazingira ya kutatanisha yule mama alitoweka, manake alitafutwa sana baada ya chadema kutaka kumsaidia, hakupatikana!
 
masikini diwani wangu Bayyo, nilimpigia kura huyo, ila kwa sasa ameporomoka kama Lipumba alivyomzungumzia Hamad Rashid baada ya kufukuzwa CUF.
 
Wengine tupo mbali na arusha jamani,tupeni ripoti nikweli kua bayo kahamia cuf?? Nasikia na yule mama ambae mwanae aliuawa na polisi pale nmc nae kachukua kadi,vipi hizi habari nizakweli tunaomba ufafanuzi,japo kwa bayo tulisha litimua halina mpango njaa inamsumbua tu.

Dah! yamekuwa hayo mbona kasi ya kuporomoka CDM ni kubwa. Ilianza Mwanza sasa Arusha. Wasira ni Zaidi ya mtabiri na sasa amewatuma watoto wake kuusoma mfumo wa CDM, kabla haijawa kama NCCR Mageuzi
 
Mkuu mbona unachakachua picha, barabara za kuelekea marangu(Kiraracha) kwa Jogoo ni za lami sio vumbi.

Hiyo picha ndiyo ya ukweli, siyo maneno yako, kama una weza zoom usome hivyo vibao.
inaelekea hujaenda huko muda mrefu sana.
Nipo sahihi, wala sihitaji kuchakachua. hayo ni mambo kafu.
 
Mke karudi kwa mume baada ya kwenda kupiga umalaya na sasa analeta ukimwi nyumbani ili wafe taaartiiiiiiib!!!

Mtu aliyefukuzwa hafai hata kujadiliwa hapa. CHADEMA haipati hasara yoyote kwa kutimua viongozi wenye hila na njaa kali hadi kuuza utu wao. Ukiona mke au mume aliyeadhirika kumrudia mwenzi wake wa awali basi kaamua kufa pamoja naye.. Hajarudi bali kaenda kuomba msaada wa maziko tu!

CCM na CUF ni vyama mahututi katika nchi hii,Tanzania
 
Wiki iliyopita kwenye mkutano na waandishi wa habari katibu wa chadema mkoa wa arusha amani golugwa alisema chadema hawafugi na wala hawatunzi mayai viza akimaanisha kuwa wanachama, viongozi au wawakilishi wasio na adabu, heshima na wasiofuata taratibu na kanuni za chama hawana muda wa kuwalea.
Jana kwenye mkutano wa CUF nimemuona aliyekuwa diwani wa chadema john bayo akijitahidi kutetea kuwa ametoka chadema kwa vile hawana utaratibu na kuwa amechoka maandamano.
Sasa swali langu ni kuwa vipi kuhusu shibuda na zitto mbona na wao ni kama hayo hayo tu au mnawagwaya??
 
ndo maana cuf walikua wanatumia nguvu nyingi kuhimiza watu waende mkutanoni!!. ni vizuri aende sababu kashafukuzwa na huko atafukuzwa kama ataendeleza tabia zake za usaliti. mia

CUF hafukuzwi mtu pale kwani sifa kubwa ya kuwa mwanachama wao ni lazima kwanza uwe msaliti mzuri ndio upewe kadi. Vinginevyo husband wake (ccm) hatoruhusu hilo litokee. Muulize Hamad Rashid atakupa ukweli.
 
Tunashukuru kwa taarifa, maana sie tunaokaa Tanganyika tuliona tu headline kwenye gazeti la jambo leo kwenye tv kuwa "diwani chadema ahamia cuf" Kumbe ni yule aliyefukuzwa!
 
Kweli CUFCCM ngangari wanatisha, baada ya CHADEMA kumchukua Prof. Safari wao wamemchukua Bayo,
ushauri wa Ritz na CUF Ngangari. umeratibiwa na Mtatiro, well done vijana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom