Diwani aliefukuzwa CHADEMA Arusha ahamia CUF,ni Bayo.

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Wengine tupo mbali na arusha jamani,tupeni ripoti nikweli kua bayo kahamia cuf?? Nasikia na yule mama ambae mwanae aliuawa na polisi pale nmc nae kachukua kadi,vipi hizi habari nizakweli tunaomba ufafanuzi,japo kwa bayo tulisha litimua halina mpango njaa inamsumbua tu.
 
Hizi siyo tetesi bali ni ukweli John Bayo aliefukuzwa chadema kwa kuhongwa na CCM ili waingie mwafaka fake amerudi CUF ikumbukwe kabala ya kujiunga CUF alikuwa katibu wa CUF mkoa wa Arusha na Ali wahi kugombea ubunge kupitia CUF huko Karatu...
 
Mkuu ni kweli kuwa John Bayo amehamia CUF, lakini inaniwia vigumu kuweza ku determine uwezo wa kufikiri wa Bayo, manake sioni tofauti ya ccm na cuf. Alihongwa na ccm kuiharibu chadema. nitashangaa kama atapewa nafasi ya uongozi na cuf. hata hivyo hana madhara hata wakimpa, alishajipaka mavi!

Yule mama kweli alipewa kadi ya CUF, ni mpango unaoonekana ulisukwa na Bayo, kwani kabla hajapewa kadi alikiri pale jukwaani kuwa mume wake aliuawa na polisi kwenye maandamano ya chadema, na walishirikiana na chadema kuzika na kumsaidia kwa mambo mengine ya kifamilia. akasema ameamua kujiunga cuf. Nilipomwona amevaa hijabu na kuficha mpaka macho nilijua udini umempeleka kule pia.

Kwa kumbukumbu zangu huyu mama aliahidiwa kuendelea kupata msaada kutoka chadema, lakini katika mazingira ya kutatanisha yule mama alitoweka, manake alitafutwa sana baada ya chadema kutaka kumsaidia, hakupatikana!
 
CUF Bwana kweli kuolewa katika nchi zetu za kiafrika ni tabu kweli kweli, unafanya kila jambo usimuuzi mmmeo, hivi CUF wameshindwa kwenda Pemba kutangaza chama chao hadi wake Arusha tena kwa hila, hii ndoa inawazika rasmi kwa ubashiri wangu baada ya mwaka 2005 hapa bara ukiondoa CCm na CDMA chama cha tatu chenye nguvu kitakuwa ADC .
 
Hizi ndizo siasa uchwara! Wangekuwa na nia kweli wangeenda CCM tu kwani haina tofauti na CUF walikoenda.
 
Huyu jamaa nilimshangaa kitu Kimoja, Wakati anapandishwa Jukwaani Kujitambulisha, Alidai yeye alichaguliwa na Wanachama zaidi ya Buku Moja lakini Kamati kuu yenye watu 45 ikamfukuza, Amesahau CUF nao walikaa na kuwatimua wakina HAMAD RASHID
 
Hizi siyo tetesi bali ni ukweli John Bayo aliefukuzwa chadema kwa kuhongwa na CCM ili waingie mwafaka fake amerudi CUF ikumbukwe kabala ya kujiunga CUF alikuwa katibu wa CUF mkoa wa Arusha na Ali wahi kugombea ubunge kupitia CUF huko Karatu...

Angeenda CCM kabisa, CUF atapewa makombo baada ya CCM kula! Huo ndio ujira wa CUF toka CCM - makombo!
 
Angeenda CCM kabisa, CUF atapewa makombo baada ya CCM kula! Huo ndio ujira wa CUF toka CCM - makombo!

Anawahadaa wananchi. anaona akienda ccm atakuwa amehalalisha usemi kuwa alitumwa na ccm kuivuruga chadema!
 
Angeenda CCM kabisa, CUF atapewa makombo baada ya CCM kula! Huo ndio ujira wa CUF toka CCM - makombo!

Mwanasiasa makini hawezi kutoka Chadema na kwenda cuf ama ccm.
Akina Bayo ni mfano wa wale waliopoteza mwelekeo na kukata tamaa. Hatahivyo amerudi nyumbani kwakuwa huko ndiko alikuwa kabla ya kujiunga na Chadema.
 
Atapata wapi milioni tatu anazodaiwa na cdm? The only way ni kwenda kujikombakomba huko cuf angalau hata wampige tafu.
 
Chadema naona mnali lia hovyo kama watoto yatima nyie kila siku mnasema Arusha wote ni Chadema kumbe uongo.
 
ndo maana cuf walikua wanatumia nguvu nyingi kuhimiza watu waende mkutanoni!!. ni vizuri aende sababu kashafukuzwa na huko atafukuzwa kama ataendeleza tabia zake za usaliti. mia
 
Amerudi alikotoka sioni tatizo hapo. Aende ila udiwani ausahau. Hawezi kuupata cuf.
 
Back
Top Bottom