Diwani afumaniwa na mke wa sheikh usiku wa manene

Si ajabu huyo shekhe ana wake 4 kama dini yao inavyowaamuru....wacha madiwani wawasaidie!

Mkuu Masa, hivi kweli una wake wanne, halfu unawapangia zamu!!! Je siku akijisikia mwenyewe atasubiria zamu au atatafuta wa kumliwaza?? ni sawa na wale ambao wana nyumba ndogo, jua kuwa ukinyanyua mguu kuna jamaa anakuja kulala tena kwa starehe zake??

Kuna jamaa namfahamu alikuwa na nyumba ndogo kila akinyanyua mguu kwenda nyumba kubwa kulala, basi anaingizana kijana na kijana alikuwa anafahamu kuwa kuna mzee mzima anatunza pale. Basi vijana wa siku hizi wanavyotaka vya mteremko basi anafurahia kuwa girlfirend wake analeta matumizi!!!

Dunia Kwisha.
 
Back
Top Bottom