Divorce zinatesa watoto

nadhani inabidi turudi kwenye drawing boards...wakati wa u-boy/girlfriend na tujitahidi sana kuwajua partners wetu kwa undani na pia tujitahidi sana kuonesha our true colors kwa wenzetu ambao tumeamua kuishi nao milele ili tufanyapo maamuzi tuwe na uwezo japo kidogo wa kuona tutaweza ishi pamoja au vipi. kuvuruga familia kuna madhara mengi sana kwa pande zote husika, lkn zaidi kwa watoto

Ni kwel haya mambo huwa ni long term causes hayatokei tuu from no where............. Out of topic Ndoa yako tayar au bado my dear??
 
Kuvumiliana kwa kila jambo, liwe zito au jepesi ndio mpango mzima,hayo mengine mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom