DIvorce cake ipi imekuvutia kati ya hizi mbili?

Divorce or Talaka ni ugonjwa ambao usipende kuutaja hovyo. Na uombe mawazo yako yasifikirie au kutamka kabisa. Kwa jamii haileti picha nzuri unapojieleza mahali eti nilitalikiwa au nimetaliki!!!Unaonekana wa hovyo fulani hivi kuwa hata familia ilikushinda kusuluhisha!!!! Unawapa watu au jamii kukuangalia kwa jicho la pili!!!!
 
LABDA HII

TOKA ZAKO SIKUHITAJI TENA ,HUNA MVUTO KAMA ZAMANI
26245375535553460664048.jpg
 
LABDA HII

TOKA ZAKO SIKUHITAJI TENA ,HUNA MVUTO KAMA ZAMANI
26245375535553460664048.jpg

Hapa umekosea. Ni jamaa anachukua ndogo ndogo na bibie anamlilia jamaa asiondoke. Hizi ni talaka za Kizungu. Mzee mambo yakiharibika, anachukua begi lake na kuhamia hotelini. Kama bibie hataki anaanza kumvuta.

Kama jamaa angelikuwa bado anapenda, angelikuwa kamwangalia mtoto (begging) na mtoto ndiyo anam-push akafie mbali.
 
hahahaha basi mie kimbali nakahisi huyo bibie anamtimua mwenza wake ..haya mambo hayafai kabisa mungu aepushe mbali
 
FL1 ya kwako inafaa kwenye ile ya kwanza! Na kwa Mtoa Maada hakuna divorce ninayoifurahia..............akiunganishacho Mungu, katu binadamu asikitenganishe.
 
Back
Top Bottom