Division Calculator for CSEE & ACSEE

Baada ya miezi kadhaa tangu kuposti huu uzi sasa nimeanza mchakato wa kuandaa toleo lijalo ambalo litakua na baadhi ya sifa zifuatazo:

* MDI Interface
* Unlimited # of candidates
* A4 printing support
* Save & load capability
* MS Word & Excel Exporter
* HTML Exporter
* Grades settings
etc

Hivyo basi nakaribisha maoni kama unalolote ambalo ungependa liongezwe au kuondolewa tafadhali unakaribishwa sana
 
hii idea nilikuwa nayo ila nikakosa muda wa kuitengeneza ila yangu ilikuwa ni mpaka advice ya nini ufanye kwa matokeo yako. I have to start working on other ideas of mine ASAP. Big up mkuu!
 
Ni nzuri ila masomo uliyoweka ni machache sana. Kuna shule wanasoma mpaka masomo 10 wewe umeweka 7 tu. Hivyo update ili iwe angalau na masomo mengi kama Bookkeeping na Commerce, bible knowledge, Agriculture, etc.....
 
Ni nzuri ila masomo uliyoweka ni machache sana. Kuna shule wanasoma mpaka masomo 10 wewe umeweka 7 tu. Hivyo update ili iwe angalau na masomo mengi kama Bookkeeping na Commerce, bible knowledge, Agriculture, etc.....

uko sawa kabisa. hilo nimeisha kamilisha nilipata tabu sana kufanya coding ya masomo mengi lakini nimeshafanikiwa. Saivi niko safar, nikifika ntakutumia sample uone inavyofanya kazi.
 
kwanza hongera;
hizo programme nimejaribu kwenye PC yangu lakini zote zinagoma nikiwajaribu kutumia inaniambia
the programme has stoped working mpaka sasa sijfanya chochote zaidi ya kuishia kusoma maelezo tu.
wait ur reply.
 
kwanza hongera;
hizo programme nimejaribu kwenye PC yangu lakini zote zinagoma nikiwajaribu kutumia inaniambia
the programme has stoped working mpaka sasa sijfanya chochote zaidi ya kuishia kusoma maelezo tu.
wait ur reply.

Hili tatizo linatokea sana kama unatumia Windows 7. Dawa yake nimeshaipata ntaupload patch yake muda si mrefu kuondoa hilo tatizo.
 
kwanza hongera; hizo programme nimejaribu kwenye PC yangu lakini zote zinagoma nikiwajaribu kutumia inaniambia the programme has stoped working mpaka sasa sijfanya chochote zaidi ya kuishia kusoma maelezo tu. wait ur reply.
Hii ni patch itakayoondoa tatizo hilo ambalo linatokea sana kwenye Windows Vista na Windows 7.

MUHIMU:
Hii ni kwa ajili ya CSEE Calculator na ACSEE Calculator Lite versions. Kama hauna download kupitia hizi links. Patch hii pia imefuta trial period iliyokuwepo awali.

CSEE Calculator Lite: http://nyasiro.com/files/CSEE_Lite.EXE
ACSEE Calculator Lite: http://nyasiro.com/files/ACSEE_Lite.EXE

Au unaweza kudownload patch hata kama hujawahi kufanya installation hapo mwanzo lakini itabidi utengeneze shortcuts mwenyewe.

Patch inapatikana hapa: http://osas.co.tz/a&csee_updater.EXE

Unatakiwa u-Extract files ndani ya installation folder ya program husika.
 
Br
Umesha download? Kama umesha download ni rahisi tu. Kwa CSEE kama ni v1.0 unatype grades unapata matokeo kama ni CSEE Lite v.1.0 unatype marks af unapress enter kila baada ya kutype then unapata matokeo....the same applied to ACSEE ukishamaliza unaweza kuprint!
Bro unaweza nipa full version inayoweza chukua wanafunzi zaidi ya mia mbili (CSEE)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom