Division Calculator for CSEE & ACSEE

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
UPDATE: Kwa maelezo zaidi juu ya program hii tafadhili tembelea www.shulemax.co.tz au nipigie/sms/whatsapp kwa namba 0757449054

KUNA TOLEO JIPYA LA HII PROGRAM FUTATILIA HAPA
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/399532-introducing-a%7Ccsee-professional-%96%93a-spreadsheet%94.html

UNAWEZA KUDOWNLOAD HAPA A|CSEE Professional Download

ANGALIA VIDEO YAKE HAPA

Wana JF nimetengeneza hizi program CSEE Calculator na ACSEE Calculator pamoja na nyingine nyingi karibuni mziangalie na mzikosoe.

csee_mfano.jpg acsee_mfano.jpg

Downloads zote zinapatikana: http://www.nyasiro.com/downloads.html

Ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijaelewa jinsi ya kuitumia
Umesha download? Kama umesha download ni rahisi tu. Kwa CSEE kama ni v1.0 unatype grades unapata matokeo kama ni CSEE Lite v.1.0 unatype marks af unapress enter kila baada ya kutype then unapata matokeo....the same applied to ACSEE ukishamaliza unaweza kuprint!
 
Hongera ila kwa nni usifanye iwe web based? yaani mtu aweze kucalculate online.
 
CSEE & ACSEE Professional ziko mbioni kutolewa nadhani mwezi wa sita zitakuwa tayari hii itakuwa balaa School Edition kama umeshatumia matoleo ya mwanzo na ungependa vitu kadhaa viongezwe karibu hapa
 
Hongera sana sana sana.nende pale kwa mwanasheria kwanza akushauri njia nzuri ya kutunza haki zako ndipo uende kwenye wizara husika,japo najua si rahisi kukuunga mkono.ila pambana.kazi njema sana hiyo
 
Unajua mi ndo nimemaliza form6 so utaratb wa GPA bado cjaupata vizuri ila kama ukinipa utaratibu mzima nadhani itawezekana.

Achana na mambo ya GPA,Ukita kuua kipaji chako anza mambo ya kufukuzana na bodi ya mikopo.tafuta histori ya alitengeneza face book au Bili gate na msaada zaida soma kitabu kinaitwa RICH DAD,POOR DAD By Robert Kiyosaki
 
Hongera sana sana sana.nende pale kwa mwanasheria kwanza akushauri njia nzuri ya kutunza haki zako ndipo uende kwenye wizara husika,japo najua si rahisi kukuunga mkono.ila pambana.kazi njema sana hiyo

Asante sana wazo lako zuri sema kweli nilikua sijafikiria nadhani ni wakati wa kuanza huo mchakato.
 
Achana na mambo ya GPA,Ukita kuua kipaji chako anza mambo ya kufukuzana na bodi ya mikopo.tafuta histori ya alitengeneza face book au Bili gate na msaada zaida soma kitabu kinaitwa RICH DAD,POOR DAD By Robert Kiyosaki
Lakini kweli sidhani kama kuna chuo ambacho hakina hizo system za GPA mimi nilikuja na wazo la sekondari manake kuna upungufu(hakuna) wa program kama hizo ambazo zinatunza muda wakati wanafunzi wanayasubiri matokeo kwa hamu!
 
hongera sana.. Inabidi usome creative commons ili ujue mambo ya copy right na copy left kabla wajanja hawajakuibia kazi yako... Swala kwenda kwa mwanasheria inabidi ulipe kipaumbele pia..
 
hongera sana.. Inabidi usome creative commons ili ujue mambo ya copy right na copy left kabla wajanja hawajakuibia kazi yako... Swala kwenda kwa mwanasheria inabidi ulipe kipaumbele pia..
Wezi kila kona! ntajitahidi kukamilisha hilo lakini pia naamini haki ya mtu haiibiwi kama ikiibwa atachelewa kuipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom