Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Huu mjadala unanikumbusha siku moja pale Airport (Dar) mzungu alitoa paspoti ya Tanzania jamaa wa immigration walikusanyika kutoka vidirisha tofauti tofauti kushuhudia hilo. Kilichowashangaza zaidi the guy was fluent in kiswahili pengine kuliko hata some of those officials.
Anywayz kilichonishtua ni namna hiyo issue ilivyokuwa handled yaani ilikuwa ni unyanyapaa kwa kwenda mbele. A poor guy was in some way treated as a criminal. Zee limoja pale tena kwa sauti likatamka "hii kali yaani huko Arusha kuna wazungu watanzania tumewapa mpaka paspoti?" Ni mpaka pale yule jamaa alipokuwa mkali na kutishia kuwashtaki mambo yakaendelea kama kawaida.