Diva wa clouds fm anatumika na nani????

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Kama kawaida yangu jana niliendelea kuisikuiliza hii redio, especially kipindi cha huyu dada..kwa bahati nzuri akafanya marudio ya mahojiano yake na Bw John Mnyika, kwanza alianza kwa kumsifia kua ni kati ya wabunge very social..kitu ambacho hakikuendana na interview yenyewe ambayo kwa kiasi kikubwa ililenga kumharibia image huyu bwana..hii ni kwa kitendo cha kurusha live mazungumzo ambayo hayakurekodiwa bila idhini...nasema hivi baada ya jana kuona tweet yake ya malalamiko kwa bw Zito kuwa ni baadhi ya wabunge selfish kwani hataki kujibu tweets ama inbox za watu ambao si maarufu kama yeye...Huyu binti ana nia gani na hawa jamaa..au viongozi wa upinzani...katumwa?? anataka kuingia kwenye siasa??? Tumuepuke huyu binti...kwa kukataa mahojianao nae..analake jambo si bure katumwa....
 
Kama kawaida yangu jana niliendelea kuisikuiliza hii redio, especially kipindi cha huyu dada..kwa bahati nzuri akafanya marudio ya mahojiano yake na Bw John Mnyika, kwanza alianza kwa kumsifia kua ni kati ya wabunge very social..kitu ambacho hakikuendana na interview yenyewe ambayo kwa kiasi kikubwa ililenga kumharibia image huyu bwana..hii ni kwa kitendo cha kurusha live mazungumzo ambayo hayakurekodiwa bila idhini...nasema hivi baada ya jana kuona tweet yake ya malalamiko kwa bw Zito kuwa ni baadhi ya wabunge selfish kwani hataki kujibu tweets ama inbox za watu ambao si maarufu kama yeye...Huyu binti ana nia gani na hawa jamaa..au viongozi wa upinzani...katumwa?? anataka kuingia kwenye siasa??? Tumuepuke huyu binti...kwa kukataa mahojianao nae..analake jambo si bure katumwa....[/QUOT
Kila kitu siku hizi Free Mason usije kuta anatumiwa!
 
Kama kawaida yangu jana niliendelea kuisikuiliza hii redio, especially kipindi cha huyu dada..kwa bahati nzuri akafanya marudio ya mahojiano yake na Bw John Mnyika, kwanza alianza kwa kumsifia kua ni kati ya wabunge very social..kitu ambacho hakikuendana na interview yenyewe ambayo kwa kiasi kikubwa ililenga kumharibia image huyu bwana..hii ni kwa kitendo cha kurusha live mazungumzo ambayo hayakurekodiwa bila idhini...nasema hivi baada ya jana kuona tweet yake ya malalamiko kwa bw Zito kuwa ni baadhi ya wabunge selfish kwani hataki kujibu tweets ama inbox za watu ambao si maarufu kama yeye...Huyu binti ana nia gani na hawa jamaa..au viongozi wa upinzani...katumwa?? anataka kuingia kwenye siasa??? Tumuepuke huyu binti...kwa kukataa mahojianao nae..analake jambo si bure katumwa....

Huyo mdada siyo yule ambaye Pasco alituambia kuwa amezalishwa na bwana mkubwa?
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada mpuuzeni tu. yani kummleta kwenye jukwaa la siasa aisee umempa sifa sana. huyu hayta lile la chit chat haja qualify.
In short hatumiwi na upande wowote maana kipindi chake ni cha mapenzi na ngono tu. sema mtoto anapenda sana umaarufu na kwa nchi yetu ukitaka umaarufu lazima uongee na wanasiasa wanaovuma kwa wakati husika.

Tatizo ninaloliona ni kuwa huwa hana upeo wa kupima amtafute na kumhoji nani hasa kwa wakati gani na mazingira yapi.

Zitto alishafanya nae interview tena alitoa ushirikiano sana. Sasa Zitto ndo katibu Mkuu wa CDM (Dr.Slaa yuko nje ya nchi), kuna swala la bajeti huko bungeni, kuna masuala ya Kigoma, kuna masuala ya Drs. Zitto is very busy now hutegemei akae anajibu tweet za mahaba kwenye kipindi kama hiki.

Mnyika kama this time ametoa ushirikiano labda atakuwa amemuonea huruma huyu msichana. Last time alisema wazi kuwa maisha yake binafsi huwa hayaendi kwa public. maisha yake public ni ya siasa tu na hataki siasa zake ziwasumbue ndugu na jamaa zake wa karibu. ''Diva'' alichukia sana na mitandao ya kijamii ilimponda sana.

Clouds Management watu kama Reuben Ndege (ambae naona upeo wake ni mkubwa) wamsaidie kujipanga vizuri.
Asome alama za nyakati
 
huyo ma.laay anawashobokea sana makamanda,wanampotezea anafikili makamanda wetu ni dhaifu,huwa anawatumia hadi msg za kuwatega ili wamtongoze.ndio stail yake kwa wasio mjua hata hicho kibarua hapo clauz kakipata kwa stail hiyo
 
Ameshaolewa? If not labda anatafuta bwana kwa staili hiyo ya kujiweka karibu na public figure wenye busara zao. Maana nadhani kipindi chake sio wengi wanaosikiliza, so she is unknown to many!
 
Jamani, lets talk about serious issues. if not careful , soon we will all be called great sinker
 
who dat bi**h? Kakobolewa na kina pingu na deso weeeeeeeee mpaka hatamaniki kaenda kuuza kwa rugay akapata kazi mawingu leo anataka ashobokee makamanda awetege then aanze kuwapa skendo za magazetini,kaona hawana time nae anaforce king,diva tulia wewe acha usengenyaji wako si lzm mtu afanye interview na wewe kua mbunifu!!!
 
Huyu KWELI katumwa!! Mwanzoni alikuwa anamsifia sana Zito Kama mpenzi wake, Zito alivyomshtukia akaanza kumkandia!! Jana namsikia akimsifia J.Mnyika, ndipo akaanza kumwuuliza mambo ya mahusiano ambayo ni mambo binafsi, kilichonitisha nipale aliporusha mazungumzo yaliyokuwa yakiongelewa NA Mnyika bila idhini yake kurekodi!! Ndipo nikaamini hawa nyumba ndogo za akina Riz 1zimetumwa kuwanasa wabunge vijana wa upinzani!! Anafaa aepukwe kama ukoma!!!
 
Kama kawaida yangu jana niliendelea kuisikuiliza hii redio, especially kipindi cha huyu dada..kwa bahati nzuri akafanya marudio ya mahojiano yake na Bw John Mnyika, kwanza alianza kwa kumsifia kua ni kati ya wabunge very social..kitu ambacho hakikuendana na interview yenyewe ambayo kwa kiasi kikubwa ililenga kumharibia image huyu bwana..hii ni kwa kitendo cha kurusha live mazungumzo ambayo hayakurekodiwa bila idhini...nasema hivi baada ya jana kuona tweet yake ya malalamiko kwa bw Zito kuwa ni baadhi ya wabunge selfish kwani hataki kujibu tweets ama inbox za watu ambao si maarufu kama yeye...Huyu binti ana nia gani na hawa jamaa..au viongozi wa upinzani...katumwa?? anataka kuingia kwenye siasa??? Tumuepuke huyu binti...kwa kukataa mahojianao nae..analake jambo si bure katumwa....

Hamna kitu sipendi kama mtu kusema uongo JF iwe kwa makusudi au kwa uzembe (kushindwa kufanya simple research kabla ya kuanzisha thread) jamani hapa ni JF sio facebook, jipangeni kabla ya kupost kitu humu.

hiyo tweet unayoisema ni ya malalamiko kwa zitto hii hapa chini, na huyo mtu aliyetuma ni mtoto wa form1 anaitwa Halima isipokua anasema anampenda sana diva, na haya kayaandika kwenye twitter yake, sasa nani katumwa hapa halima mtoto wa form one au wewe uliyekurupuka? huu hapa chini ushahidi

ZittoMoja.png
ZittoMbili.png
ZittoTatu.png
 
i katika kujipendekeza kwenu kwa ccm tunaomba mjichunge kila mtembeapo jihadharini na mabinti na mjichunge mnakula na kunywa wapi lazima tuondoke na mmoja wenu halafu mapata lessons maana watanzania wanteseka sababu ya serikali ya kufisadi na nyie mnashabikia hali hii especialy kitendo cha gerald hando lazima tujibu mapigo wenzenu watakuwa bungeni na sisi nanyie god bless you guys watch your backs:embarassed2:
 
Amesikia sikuhizi JK anachagu wanahabari kuwa wakuu wa wilaya ngoja ajitahidi lakini amechelewa
 
Back
Top Bottom