Div 4.18 nifanyaje????

Kitanto

Member
Apr 6, 2011
26
1
Wana jf mimi nimemaliza form 6 na nimefanya mtihani kama private candidate na nimepat div 4.18 sijui nifanyeje nilisoma HGK yaan FSE Ndo nimepata, naomba mnisaidie kutafuta vyuo vya diploma na certificate ya ualimu vile vya serikali kwani uwezo wangu ni mdogo sana.
 
Pole sana mkuu usikate tamaa jaribu vyuo vya ualimu kuna kimoja kipo Tanga kizuri kweli nina mjomba wangu aliwahikupita hapo ngoja nimtafute nitakuPM.
 
Poa tu bro naomba unisaidie kwani sina pa kuanzia kwa sasa mawasiliano yangu ni no.0759447944 , na facebook account kwa jina SAMMYTANTO'S NALOGWA.
 
Wana jf mimi nimemaliza form 6 na nimefanya mtihani kama private candidate na nimepat div 4.18 sijui nifanyeje nilisoma HGK yaan FSE Ndo nimepata, naomba mnisaidie kutafuta vyuo vya diploma na certificate ya ualimu vile vya serikali kwani uwezo wangu ni mdogo sana.
Yaani wewe ni bora hasa, maana tayari unamawazo ya nini cha kufanya. Nenda kasome hiyo Diploma, kisha jiendeleze. Hujachelewa na hutachelewa. Maisha ndio yanaanza kwahiyo hujashindwa maisha. Nami ninacheki inf za Diploma nitakujuza.
 
pole sana ndugu yangu, kuna chuo kipo Mbeya maeneo ya tukuyu ni kizuri sana na ni cha serikali, wanatoa diploma mimi nilishawai kusoma uko kinaitwa Msasani teachers college na kwakuwa wewe una principle moja una qualify kusoma so nenda wizara ya elimu kama upo dar watakupa information zote za jinsi ya kujiunga mzee
 
Mimi ni mwalimu na ninasikitika kwamba unataka kusomea ualimu sababu eti 'uwezo wako ni mdogo'. Umenishusha hadhi, mimi na kazi nayofanya
 
gurta kwa kibongo bongo ualimu atleast mzee, since serikali inafadhili to some extent na ajira haisumbui sana kuipata, keep in mind jamaa kasema ana uwezo na kozi nyingine si unajua ni expensive kuzisomea, so go ualimu then shift later on katika kazi nyingine that's what i did and seen most people do....
 
Kama unataka kuomba kusomea Ualimu, deadline ya kuomba ni tarehe 13, Mei, 2011. hivyo fanya haraka na uchangamkie hiyo nafasi kabla ya deadline.
NB: Wao wanahitaji uwe na principle pass 1 ya somo la kufundishia darasani, na subsidiary 1 tu, then una qualify kusomea hiyo course ya Diploma in Secondary Education.

ANGALIZO: Kabla ya kuandika barua ya maombi nakushauri usome tangazo lao ili ujue nini wanataka, na pia namna ya kuiandika hiyo barua (Namaanisha : mtumiwaji wa hiyo barua,) Ukiandika tu : Katibu w/E huenda inaweza ikapotea.
Vigezo na masharti kuzingatia. Kwa kukusaidia basi angalia/ soma tangazo hilo hapo: http://www.moe.go.tz/Tangazo%20mafunzo%20ya%20Ualimu%20March%202011.pdf

kila lakheri kama sifa unazo!!
 
Mimi ni mwalimu na ninasikitika kwamba unataka kusomea ualimu sababu eti 'uwezo wako ni mdogo'. Umenishusha hadhi, mimi na kazi nayofanya

Take easy man lakini huu ni ukweli unaoumiza sana, sikuhizi ualimu umekuwa kimbilio la wale wasiokuwa na option nyingine, hakika hii taaluma muhimu imepoteza kabisa sifa yake!!
 
keep in mind jamaa kasema ana uwezo na kozi nyingine si unajua ni expensive kuzisomea, so go ualimu then shift later on katika kazi nyingine that's what i did and seen most people do....

uwezo anaozungumzia hapa si wa kifedha ndugu, na hilo ndo lililonighafilisha
 
Take easy man lakini huu ni ukweli unaoumiza sana, sikuhizi ualimu umekuwa kimbilio la wale wasiokuwa na option nyingine, hakika hii taaluma muhimu imepoteza kabisa sifa yake!!

hata mimi namtakia kila la kheri, ila ualimu sio kwa ajili ya wale wenye 'uwezo' mdogo. Atafute chuo ila awe MWALIMU na sio apate kitu cha kufanya kwa kuwa ana uwezo mdogo.
 
Pole sana mdogo wangu, usikate tamaa; mwanaume safari ndy kwaanza inaanza.
Mimi naomba nikupatie mawazo tofauti kidogo, japo linaelekea huko huko.
Kama kuna fani unaipeda, yoyote. Nakushauri uende VETA (Wengi wanaweza kukucheka), kasomee fani hiyo mpaka level3 ama grade1 nadhan, kisha uende MVTTC morogoro ukapate diploma ya Vocational Education. Amini nakwambia utaipenda, saary za VETA na nafasi za kujiendeleza ziko nzuri zaidi. Nina mdogo wangu alikuwa haki kabsa kuskia ualimu, alipitia njia hiyo, ss hv aliomaliza nao6 wakaenda uni na ualimu wengi wako chini yake kwa kila kitu. Tunavyoongea hv yuko KOREA anakwea madarasa!
 
Kwa haraka haraka ninaona kama vile una kipaji cha uandishi wa habari. Kwani u muwazi na hana hofu ya kusema ukweli. Kuna mambo mengi katika uandishi wa habari, Kuanzia kutengeneza gazeti, kuandika ktk magazeti, kupiga picha za habari ktik magazeti, kupiga picha za television, kuandika habari za televisheni na radio, kutengeneza matangazo ya biashara za magazeti, redio na television, na kufanya kazi ya oafisa habari. Kwa kuwaomba wana JF Ushauri kwa kiwango chako una kila dalili ya kufanikiwa kwani una hadhi ya kukaa na watu wa juu kifikra na utafanikiwa. UTAKUWA JUU. nitakupatia ushauri wa vyuo vizuri na utaanza na kozi ya cheti miezi tisa, baadaye diploma, baadaye digriii, baadaye mastaz. Una weza wewe. You are really very brilliant. If you keep on learning you will keep on succeeding.
 
Pole sana mkuu usikate tamaa jaribu vyuo vya ualimu kuna kimoja kipo Tanga kizuri kweli nina mjomba wangu aliwahikupita hapo ngoja nimtafute nitakuPM.

isijekua ni eckenford hicho kimeo
 
Kwa haraka haraka ninaona kama vile una kipaji cha uandishi wa habari. Kwani u muwazi na hana hofu ya kusema ukweli. Kuna mambo mengi katika uandishi wa habari, Kuanzia kutengeneza gazeti, kuandika ktk magazeti, kupiga picha za habari ktik magazeti, kupiga picha za television, kuandika habari za televisheni na radio, kutengeneza matangazo ya biashara za magazeti, redio na television, na kufanya kazi ya oafisa habari. Kwa kuwaomba wana JF Ushauri kwa kiwango chako una kila dalili ya kufanikiwa kwani una hadhi ya kukaa na watu wa juu kifikra na utafanikiwa. UTAKUWA JUU. nitakupatia ushauri wa vyuo vizuri na utaanza na kozi ya cheti miezi tisa, baadaye diploma, baadaye digriii, baadaye mastaz. Una weza wewe. You are really very brilliant. If you keep on learning you will keep on succeeding.

hizo fedha za Ada utamlipia mkuu? Keshakwambia kutokana nauwezo mdogo anahitaji msaada wa support toka serikalini datz kaenda huko kwenye ualimu
 
sikushauri sana kwenda kusoma diploma yoyote ndugu yangu.
nadhani ni vyema uki resit na mwakani ukaenda chuo moja kwa moja.
tazama muda utakaopoteza kwenda dip miaka 2 then uanze kazi na baada ya miaka 2 ndio uende chuo.
ila kama waona uwezo wa kurudia mtihani na kufaulu haupo basi kasome dip ila njia niliyokushauri ndio bora zaidi.
kufeli mtihani sio kufeli maisha.
 
Take easy man lakini huu ni ukweli unaoumiza sana, sikuhizi ualimu umekuwa kimbilio la wale wasiokuwa na option nyingine, hakika hii taaluma muhimu imepoteza kabisa sifa yake!!
cdhan kama hoja yako ni applicable nowdays! mi nadhan watu wanakimbilia ualim coz ni cheap kusomea na easy kupata employment lakini kwa criteria standards.... mmmh mjaribu ndugu yako mwenye div 0 au hata hiyo iv asiwe na principle a-apply then tupe feedback!
 
ungekua na principle japo moja na subsidiary ualim ungepata kwni hiyo principle ingekua ndio somo lako la kufundishia lakini kama huna principle hata moja better u-resit ukipata principle na kama bado una nia na ualim tuwasiliane nikuunganishe kwa mtu
 
Back
Top Bottom