Div 3 point 16

kalechee

Member
Mar 10, 2011
85
4
wanaJF nina ndugu yangu kamaliza form 6 HKL na kapata div 3.16(yaan ana SSD),je kuna uwezekano wa kupata chuo cha serikali? Na koz ipi itakuwa rahisi kudahiliwa? Vp kuhusu TUMAINI na SAUT atapata?
 
Ajaribu law,masscom pale sauti ila Education hawezi kupata kwenye public u'ties
 
Aende SAUT, kuna kitu kinaitwa pre-entry course ya miezi mitatu sijui, afanye hiyo ili aweze kuenda bachelor. Kwa matokeo hayo hawezi kwenda chuo mazima kwa vile hana E mbili...
 
yap, mwambie aje saut kuna hiyo pre-entry course na infact inakaribia kuanza na registration imeshaanza ni ta miezi mitatu tu, kwa hizo pass alizokuwa nazo degree haiwezekani katika chuo chochote tanzania mpaka angekuwa na aggegate point ya tatu 3.5 na principle 2 hapo sawa
 
Jamani vyuo vinahitaji angalau 4.5 si 3.5 unless mtu aweke ushahidi kuonyesha mahitaji yamebadilika. Kwahiyo E, E na S ni 2.5 na point huhesabiwa A=5, B=4, C=3, D=2, E=1 na S=0.5. Kwahiyo ni atleast two principal passes with 4.5 in total. (hizi ndio minimum entry qualification)
 
sheria ya vyuo angalau apate EES ndo naweza kujiunga na vyuo vikuu

Naona tayari tuna vyuo vya kata, yaan mwenye EES anaenda chuo kuchukua degree??aisee...!!
 
wanaJF nina ndugu yangu kamaliza form 6 HKL na kapata div 3.16(yaan ana SSD),je kuna uwezekano wa kupata chuo cha serikali? Na koz ipi itakuwa rahisi kudahiliwa? Vp kuhusu TUMAINI na SAUT atapata?

Huyo mkuu mshauri tu akasomee Ualimu wa Diploma wa secondary (DIPLOMA IN SECONDARY EDUCATION) then baada ya hapo atakuwa na ajira yake so hivyo anweza akaanza kujiendeleza wakati yupo kazini huku anakula mshahara wake.

NB:
Kama anataka kuomba kusomea Ualimu, deadline ya kuomba ni tarehe 13, Mei, 2011. hivyo fanya haraka na uchangamkie hiyo nafasi kabla ya deadline.
NB: Wao wanahitaji uwe na principle pass 1 ya somo la kufundishia darasani, na subsidiary 1 tu, then una qualify kusomea hiyo course ya Diploma in Secondary Education.

ANGALIZO: Kabla ya kuandika barua ya maombi nakushauri usome tangazo lao ili ujue nini wanataka, na pia namna ya kuiandika hiyo barua (Namaanisha : mtumiwaji wa hiyo barua,) Ukiandika tu : Katibu w/E huenda inaweza ikapotea.
Vigezo na masharti kuzingatia. Kwa kukusaidia basi angalia/ soma tangazo hilo hapo: http://www.moe.go.tz/Tangazo%20mafunzo%20ya%20Ualimu%20March%202011.pdf

kila lakheri kama sifa unazo!!
 
afuatilie vyuo vyenye pre entry course bado inawezekana akapata,cha muhimu wakati huu ni kutafuta information kwa bidii kubwa otherwise anaweza akakosa nafasi,afuatilie SAUT,TUMAINI,ST JOHN
 
Jamani vyuo vinahitaji angalau 4.5 si 3.5 unless mtu aweke ushahidi kuonyesha mahitaji yamebadilika. Kwahiyo E, E na S ni 2.5 na point huhesabiwa A=5, B=4, C=3, D=2, E=1 na S=0.5. Kwahiyo ni atleast two principal passes with 4.5 in total. (hizi ndio minimum entry qualification)

Angalia guide katika website ya TCU. Kuna baadgi ya course cut-off point ni 2.0 ikiwa na maana kuna watu wenye principal pass mbili (EE) wanaingia chuo kikuu!
 
Back
Top Bottom